masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Happy birthday masai dada kumbe wewe ni mdogo wangu?
niombee msamha kwa miss neddy nimemuuzi
Last edited by a moderator:
Happy birthday masai dada kumbe wewe ni mdogo wangu?
miss neddy hana tatizo kabisa....nimekuacha anamalizia keki yako...amefurahi sananiombee msamha kwa miss neddy nimemuuzi
tatizo mafua yashaanichanganya
Ila tukiweka masihara pembeni nikupongeze kwa kuongeza mwaka mmoja kwenye timeline yako mkuu...unajua haya maisha yamekuwa mafupi kama skirt za mabint wa shule wanaoanza kupevuka! Other comes for short visit....hahahhah tatizo umezaliwa ocean road ujaelewa hata what i mean
tatizo mafua yashaanichanganya
asante mamii
hata keki siwezi kula sababu ya flue yaani nilipanga nikalale kigamboni huko ama mbali kabisa huko
SEMA MVUA MUDA WOTE YAWEZA NYESHA MADARAJA YAKAKATIKA NIKASHINDWA KURUDI
naogopa rungu la bosi
Happy Birthday masai dada
Happy birthday mpwa wangu how young are you now
Happy birthday, masai dadaa
Mungu akujaalie afya njema na mafanikio Maasai dada
Uwe unafua mashuka(joke).
asante sana mkuu ila nina mafua
Ila tukiweka masihara pembeni nikupongeze kwa kuongeza mwaka mmoja kwenye timeline yako mkuu...unajua haya maisha yamekuwa mafupi kama skirt za mabint wa shule wanaoanza kupevuka! Other comes for short visit....
asante sana mama alafu umemuuzi SAYANSIKIMU kaamua kufuta msg zote aijui ataweza kila thread maana zina karibia laki 8
Pole.
Hayo mafua dawa yake naijua, usiwe na shaka.