happy birthday mama

happy birthday mama

Ooh happy birthday to your mama,

I wish you harbour the same feelings on your daddys birthday. by the way, Hivi kumbe huwa una vishimo kwenye mashavu? huwa vinapendezesha wadada sana!!!!!!!!!!!!!
 
Happy Birthday Mama Smile na pole na kuumwa, Smile utapitia kitenge cha WAX cha mama hapa nimemnunulia
daah thax the finest .miss u a lot my dia.pole sana kwa msiba.na shughuli zote.stay blessed
 
Ooh happy birthday to your mama,

I wish you harbour the same feelings on your daddys birthday. by the way, Hivi kumbe huwa una vishimo kwenye mashavu? huwa vinapendezesha wadada sana!!!!!!!!!!!!!
mmmmhhhhhhhhh
 
Happy Birthday Mama Smile!
Mungu akujalie upone haraka (ili Smile aweze kutekeleza yale anayotamani kukutekelezea).
i wish with all my heart mkuu.thax
 
Happy Birthday Mama yetu. mama kama hali Kuku anakula nini? nimnunulie?
 
dah nilikuwa nimesahau jamani,leo ni birthday ya mama yangu mpendwa
namuombea kwa mungu amjalie kila lililo la kheri katika maisha haya
i wish mama upone uwe kama zamani
nakumbuka kipindi naenda shule ulivokuwa unanitengenezea kuku wa kula njiani ili nisile vitu vibaya njiani.sasa nimekuwa mkubwa i wish nikutengenezee na wewe kuku ila huwezi kula tena swit mamy why you
nakumbuka ulivokuwa unanipeleka vidudu nilipokataa maana wenzangu walikuwa wananitania eti na vimashimo kwenye mashavu i wish nione vyakwako mama.
to be honest kuumwa kwako ni kitu kinanikosesha furaha hapa duniani mama
in your birthday nakuombea kwa mungu upone tu jamani
i love you my mother with all my heart
happ birth day mama...
 
Pole nyingi kwa mama. anaumwa nini jamani. mpe happy birthday.
 
happy birthday mama tabasamu.tunakuombea sana ili smile apate kuku wa ukubwani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom