CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ndo niko Chalinze kaka.
my wi hujafika tuuuu.... me nshachoka kukusubiri ubungo ati!!!!!!
Ndo niko Chalinze kaka.
Nyie wangoni nawaogopa,
.Msije nibeba bure,maana nyie pesa inafika,ila mwanamke hafiki.
BTW Thanx sana.
ayaaaaaaa.....sikubali.....hii mbona sikuona......anyway....sijachelewa......Happy Birthday bi shostito......
![]()
Leo ni siku yako mpya hapa duniani, hongera kwa kutimiza miaka kadhaa toka uje hapa duniani, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye baraka na afya, sina mengi ya kusema, ila nasema hongera kwa siku ya leo
HAPPY BIRTHDAY

Yupo na private car sasa na wasiwasi miguu yako itaingia ndani kwa kusubiri.
Wangu mbona hujaeleweka?
Asante mamito.
Japo jana sijakusoma best.
jana jana janaaa....hebu ngoja kwanza nitafakari jana ilikuwaje.........