Happy birthday Madame B

Happy birthday Madame B

Madame B kwangu usiwe na shaka yoyote, simuhitaji. So wewe kula raha zako tu na Chimbuvu, ila mkanye asiendekeze ubazazi!

Yani kuwa na mwanaume supastaa kazi kwelikweli.
Na mimi nimeshaghahiri wala simuhitaji tena mpaka aje atoe tamko hapa kikaoni.
Nasema,endelea nae.
Nitatafuta mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Jamani, mimi mbona wala sijamuanza. Usimmwage wewe endelea naye tu Madame B!
 
Last edited by a moderator:
Aaahh wapi! Mimi ni wewe tu Madame B,by the way mimi nakupenda wewe na ninakili hadharani,ur the one for me,mamii kama mwanaume akiwa succesful atazushiwa mengi n now its the time for us to stand together kwa kweli,eg angalia obama alivyozushiwa,lakini wakaelewana na michele,hebu mwangalie kilaza wetu yupo na wyf wake mpaka sasa ingawa anapachikwa majina mengi.naomba mama tuungane pamoja wala usitetereke haya ni maisha mamii Madame B

Wewe si unamtaka Nasema?
Yani kweli Chimbuvu unaamua kutuchanganya?
Haya.
 
Mamii naomba tafadhali jmn Madame B
wewe ni wangu mama we ni wangu my boo jmn

Yani kuwa na mwanaume supastaa kazi kwelikweli.
Na mimi nimeshaghahiri wala simuhitaji tena mpaka aje atoe tamko hapa kikaoni.
Nasema,endelea nae.
Nitatafuta mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Aaahh wapi! Mimi ni wewe tu Madame B,by the way mimi nakupenda wewe na ninakili hadharani,ur the one for me,mamii kama mwanaume akiwa succesful atazushiwa mengi n now its the time for us to stand together kwa kweli,eg angalia obama alivyozushiwa,lakini wakaelewana na michele,hebu mwangalie kilaza wetu yupo na wyf wake mpaka sasa ingawa anapachikwa majina mengi.naomba mama tuungane pamoja wala usitetereke haya ni maisha mamii Madame B

Nimekuelewa mpenzi wangu Chimbuvu.
Unajua kuna mahala nimeona kama vile unateleza.....
Hilo penzi langu nakuomba usiligawe popote maana twaweza kugombana bila sababu.
Tusimame imara ili akina St. Paka Mweusi na Baba V wasipate la kusema.
 
Last edited by a moderator:
Bwana we shem.
Hebu lete hyo zawadi me nimezaliwa November net.

Shem zawadi yako hii hapa eenh!

attachment.php
 
Attachments

  • madamB.png
    madamB.png
    216.3 KB · Views: 36
Aaahh wapi! Mimi ni wewe tu Madame B,by the way mimi nakupenda wewe na ninakili hadharani,ur the one for me,mamii kama mwanaume akiwa succesful atazushiwa mengi n now its the time for us to stand together kwa kweli,eg angalia obama alivyozushiwa,lakini wakaelewana na michele,hebu mwangalie kilaza wetu yupo na wyf wake mpaka sasa ingawa anapachikwa majina mengi.naomba mama tuungane pamoja wala usitetereke haya ni maisha mamii Madame B

Kwani huyu nae ni wa wapi? Hawa kaka zako bana?!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom