Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
si unajua mkubwa ndiye mtunza kumbukumbu
Mambo yote ni pale Bussiness Park Kijitonyama.
Karibu Mwnfnz wangu.
Thanks mwalimu. Umeshatoka "kwa msisi"?
We mtoa mada
Kijino umejuaje kuwa leo ni besidei ya mke wa
mtu? Na we Ruttashobolwa kulikoni besidei ya
mkeo mfungua uzi mwingine? Kalagabhao utafunga nepi mwana si wako.
Hongera lakini madam B kwa kusherehekea siku yako ya
kuzaliwa,mmmmmmmmwwwwwaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
Ndo niko Chalinze kaka.