Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Party wapi mamyto?
asante shem..... be blessed
uwe na mchana mwema sijui uko nchi gani?
Ha ha ha shemeji mie mbona nipo huku Mwembe kiuno.. Nafanya biashara ya madafu na maembe lol..
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::bathbaby:
:a s-heart-2::a s-heart-2::a s-heart-2::a s-heart-2::a s-heart-2::a s-heart-2::a s-rose::a s-rose::a s-rose::a s-rose::a s-rose::a s-rose::a s-rose::a s-rose::a s-rose::bathbaby:
waooooooooooooo ni mm umenitumia hizo .............. au?
Hizo zako zotee nimekutumia punde utazipata,wewe uko hapo kwenye hilo beseni unaoga:smile-big::A S thumbs_up:
How I, wish to meet charminglady
ladyfurahia Mungu akuzidishie afya tele katika maisha yako ya kila siku, hongera sana
Ni kwa nia njema tu, na ukizingatia kuna baadhi ya starehe tunazotumia zinafanana basi ni raha tuWhy mkuu!
Ni kweli mkuu huwezi jua ujue JF wametupatia sana kwa kutuwekea pazia, walioanzisha hii kitu walitulia sana hawakuwa na papara ndio maana tuna uhuru kama hivi. Vinginevyo uhuru wa kujielezea ungepungua tuwapongeze sana kwa ubunifu waoWakati mwingine unaweza kuta tunafahamiana!!! :smile-big: