Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
Happy born day bestito ladyfurahia
Last edited by a moderator:
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako ladyfurahia
asante daddy nimefurahije nashukuru msalimie mumy mwambie kuwa nimeanza maisha mapya ya kutokuwa mtoto mtundu tena
You are welcome mpendwa. Happy birthdaya again....
Hivi kwani zamani ulikuwa mtundu eenh?
Hivi huwa mnajuaje kumbukumbu za siku za watu kuzaliwa?
Ni kwamba mnajuana kiundani nje ya hapa JF au mnafuata taarifa zilizopo kwenye profiles za watu humu?
happy birthday bestito
Kwa niaba ya mai waifu wangu Paloma i wish u a Happy Belated Birthday ladyfurahia..
Zimefika shem.. sio kimya shem.. niliona pm yako.. nikaghafilika kuijibu... Bt nitakujibu soon..
happy birthdayasante rafiki nashukuru ubarikiwe
happy birthday
nshachelewa.. ila lazima niseme happy bday lady furahia , japo swali la Nyani Ngabu lipewe majibu tafadhali