Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Nakutakia heri katika kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa... Mungu awe nawe na akupe maisha marefu Ameen..
![]()
Happy birthday lady furahia...Mungu akujalie maisha marefu yenye mafanikio tele
Heri ya siku ya kuzaliwa,nakutakia kila la kheri katika safari yako ilobakia..
happy birthday lady furahia
i wish you all u wish for yourself
Hivi huwa mnajuaje kumbukumbu za siku za watu kuzaliwa?
Ni kwamba mnajuana kiundani nje ya hapa JF au mnafuata taarifa zilizopo kwenye profiles za watu humu?
Happy birthday bidada Mungu akupe haja ya moyo wako na mwaka huu kabla haujaisha uonyeshwe mambo makubwa magumu usiyoyajua ambayo jicho wala sikio halijawahi sikia na kuona zaidi sana uzidishiwe ufahamu ktk kuzijua njia na makusudi ya Bwana juu ya maisha yako. Nitakua mchoyo wa shukrani nisipomshukuru aliyetupa taarifa za siku hii muhimu kwa bidada , asate sana mkuu kwa kutujuza huenda wengine tusingeona.
Happy birthday my dear daughter ladyfurahia may you live to blow 101 candles
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa...
Naona majina makubwa tu. Nangojea orodha B.
amejisahau tu mkuu, usisononeke, Happy birthday Lady Furahia
Happy birthday ladyfurahia. Ukabarikiwe sana na ukawe na maisha marefu yenye furaha na amani
mimi na mme wangu Mwanyasi tunakupongeza kwa kuifikia siku hi ya leo tena ambayo ni ya pekee kwako ni kwa neema tu na rehema za Mungu, twakutakia maisha marefu na yenye baraka. Happy birthdaiiiii....
Happy birthday ladyfurahia!!
Happy birthday ladyfurahia leo ni mwaka mpya kwako, timiza malengo yako
Happy birthday May ni mwezi wetu watu waungwana wote!!
Asante bestito nashukuru sana
Asante rafiki nimefurahia sana kuiona
Nashukuru sana bestito ubarikiwe
Asante kwa zawadi hii nzuri nimeipokea
huwaga wanaangalia kalenda ya jf
Nashukuru sana binamu kwa kuniletea zawadi hii nzuri kwangu waambie wazazi kuwa nimeipokea na nimeifurahia sana bado pampers nasubiria
Nashukuru sana rafiki kwa kunitakia heri na afya njema nimepokea
asante mumy wewe ulifanyika sababu ya mm kuwepo hapa jf
asante bestito nimezipokea ubarikiwe
ulikuwa hujui kuwa mm ni Waziri wa miundo rejea wa TEAMRafiki mjengoni hapa ndo
lazima ujue kuwa hao ndo wajumbe wangu wakuu wa idara mbalimbali hapa jf bado kiongozi wao hajafika
asante bestito mwache asononeke huyo kwani wakubwa tushaingia mjengoni ngoja tumwite Mtambuzi aamke pale kitandani aje hapa
Nashukuru binamu yani nimekumiso wewe we acha tu
asante rafiki nashukuru msalime shem mwambie nitakuja tanga
asante my wiii wa ukweeee hivi kule kilimahewa utakwenda lini tena kuona shamba la kaka?
asante sana rafiki nimefurahijee?
Nilijua tu rafiki utakuja kwenye function pale LTHP asante kwa heri hii
hadi mtoto wangu jamani ananitakia heri mwambie mama Passion Lady akulete home ule keki ya bday
ni kweli kama ulikuwepo ni mwezi watu waliotulia wasio na bughudha na watu wanaojituma kaitika kila nyanja iwe ya kuleta maendeleo si unaona mwenyewe King Melo naye yuko mwezi huu MAY asante kwa kunitakia heri NIMEFURAHIA SANA
Pamoja sana enjoy siku yako Pacha
happy bdy lady furaha
Happy birthday bidada Mungu akupe haja ya moyo wako na mwaka huu kabla haujaisha uonyeshwe mambo makubwa magumu usiyoyajua ambayo jicho wala sikio halijawahi sikia na kuona zaidi sana uzidishiwe ufahamu ktk kuzijua njia na makusudi ya Bwana juu ya maisha yako. Nitakua mchoyo wa shukrani nisipomshukuru aliyetupa taarifa za siku hii muhimu kwa bidada , asate sana mkuu kwa kutujuza huenda wengine tusingeona.