####### Happy Birthday Kivumah######


...@Red, hapo chachaa. watu Babuu babuu.....
 
Nlijua ntakuamini ..
hapo mambo super dupper..
me like it 🙂 Kivumah funga macho usione hii kwa sasa..
..mhh haya nimefunga Mratibu, Msisahau kadi ya Maria Roza jamani. Mwakilishi wa lile jukwaa
 


Kabla ya kendelea na huu mpangilio... VIP kuna ladies?? maana kama ni hivo mie naona nitagoma (Abiria linda mzigo wako in motion...lol)
 
You guys AshaDii, AD, Kivumah (Birthday boy mtundu kweli), Sangara, you're killin me with laughter lol!!!
 
Kabla ya kendelea na huu mpangilio... VIP kuna ladies?? maana kama ni hivo mie naona nitagoma (Abiria linda mzigo wako in motion...lol)
..hhaaahhaaa hha. Umesikika. Nadhani ombi lako litafanyiwa kazi immediately
Abiria linda mzigo wako. True Dat
 
Happy Birthday Kivumah mimi natoa offer ya wewe kwenda Massage Parlour over the weekend
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…