Hommie inaelekea we hujafunga, nimesema linakuwa gumu ukiwa na njaa.......... na unajua tena swaumu na jua hili ilivyo kali.... Sijaona sehemu ukimsalimia shem wangu.....Hii tabia umeanza lini?Happy Birthday My dear King'asti (nashangaa babu ODM kusema eti jina gumu hili)
Me na Mpenzi wangu AshaDii tunakuandalia bonge la futari leo.,, na madamu umeahisi kutokuja na AK47 basi hata waoga waoga kama Kina TF na Kimey watakuwepo (kimey hatakuwa peke yake, supposedly)
I wish you many happy days ahead,
Happy Birthday My dear King'asti (nashangaa babu ODM kusema eti jina gumu hili)
Me na Mpenzi wangu AshaDii tunakuandalia bonge la futari leo.,, na madamu umeahisi kutokuja na AK47 basi hata waoga waoga kama Kina TF na Kimey watakuwepo (kimey hatakuwa peke yake, supposedly)
I wish you many happy days ahead,
Thats so sweet to learn that you get all that sweetness from my homeboySweetie... that is so sweet of you.....
Hommie inaelekea we hujafunga, nimesema linakuwa gumu ukiwa na njaa.......... na unajua tena swaumu na jua hili ilivyo kali.... Sijaona sehemu ukimsalimia shem wangu.....Hii tabia umeanza lini?
Hahahahahaha...... ROFL!......... Kweli Rais ni Rais na Pope ni Pope lolkhaaaa...hommie hii defensive mechannism yako.......mbona kama ya zamani kama wewe mwenyewe aisee.. dah...unategemea ivo kweli...
Hahahahahaha...... ROFL!......... Kweli Rais ni Rais na Pope ni Pope lol
thanks rr for the nice gift and them wishes
hahaha, and anything russian feels like mafiosso connected,lol!
Tatizo hommie hujamsoma sweetie wako vizuri... Nimekuwekea Bandiko lake hapo kwa msaada zaidi..........ole wako uhusishe nukuu hiyo na umri wa babu ODM.............This time ntakusemea......Orait, baad aya kuelewa hebu nambie huyu King'asti tunamuandalia nini baada ya futari?
Mi napendekeza kuwe na kambege kidogo, kudumisha mila, kisha biya biya biya. Halafu tutamweka Fidel mlangoni ahakikishe hakuna anayeingia na Silaha
Sweetie wangu AshaDii anaandaa vitu vizito hadi najiuliza itakuwaje, of course ntaanza kuvionja mimi
halafu ntaomba katiba izingatiwe. Mgao wa TANESCO hautakuwepo, na amfuta mtajaza pale pale nyumbani....BP my masaburi....
N;B Tokana na kua huu ni mwezi mtukufu wa Ramdhani, hakutakua na sherehe bali
nakuandalia futari ya nguvu (kakako kaahidi kunisaidia – as much as mvivu kupika)
na sunnah tutapata Choclate cake in the shape ya hio toy kwenye Avatar….
Hivo futari ya leo ndugu na jamaa wa karibu wataalikwa…..
Tatizo hommie hujamsoma sweetie wako vizuri... Nimekuwekea Bandiko lake hapo kwa msaada zaidi..........ole wako uhusishe nukuu hiyo na umri wa babu ODM.............This time ntakusemea......
Orait, baad aya kuelewa hebu nambie huyu King'asti tunamuandalia nini baada ya futari?
Mi napendekeza kuwe na kambege kidogo, kudumisha mila, kisha biya biya biya. Halafu tutamweka Fidel mlangoni ahakikishe hakuna anayeingia na Silaha
Sweetie wangu AshaDii anaandaa vitu vizito hadi najiuliza itakuwaje, of course ntaanza kuvionja mimi
halafu ntaomba katiba izingatiwe. Mgao wa TANESCO hautakuwepo, na amfuta mtajaza pale pale nyumbani....BP my masaburi....
Now what is this........keep cool shem.... I know my hommie.....anatelezaga anapokuwa na mastress......Tulikua woote hapa room... (thou tumepeana migongo wakati tupo hapa jamvini)
Hio post kanikwaza.... Nashukuru umeliona hilo ODM... imenibidi nitoke nje... Toka jana simuelewi...
Sijui kuna nini... nimejaribu omba msamaha kwa MJ1 Kule, kakubali but.... Dah!
Now what is this........keep cool shem.... I know my hommie.....anatelezaga anapokuwa na mastress......
Unajua shem, hommie wangu alipata F katika somo la ULINZI SHIRIKISHI..........AshaDii akilijua hilo anapaswa kumwelewa na kupotezea weakness zake.......... Sema umenielewa shem......Tatizo hanihusishi.... how am i able to help and he is my lov... I feel left out...
Tumeelewana vizuri itakuaje kabla mie sijapost then anakuja badili tena, nini manake?
Duh...hapa kimeumana mazima...ivi ODM kama sio uzee, ni wapi nimesema kuna Sherehe? afu kimila zetu unajua kufuturu maana yake ni nini...halafu ndo utakuwa unatoa machozi umekuja kwa hommie wako afu hatuja do ze ndiful (ase kwetu si unajua bila mbege ni kasheshe mwenyewe utabip na kuondoka lol)
Unajua shem, hommie wangu alipata F katika somo la ULINZI SHIRIKISHI..........AshaDii akilijua hilo anapaswa kumwelewa na kupotezea weakness zake.......... Sema umenielewa shem...... )