~***~Happy birthday keren happuch~***~

AshaDii, you always humble me my dear. Thank you so much for these kind words.

I am here my dear.........Nilikuwa kanisani ndo maana nimechelewa kuwepo hapa. Asante sana mpenzi.

BTW, hope BAK amekupa majukumu....:)


Juu yako I always mean what i say Happuch... Mungu ndo amekuwezesha uwepo wako hapa hivo sala muhumu dear , it is your big day sie twasubiri tu kwa hamu... Hakikisha tu umependeza maana naamini hii ndo mida yenyewe (hopefully white haitakosa katika uvaaji wako for i always imagine you in white...lol) Utanisamehe saana however kua sijashikamana katika maandalizi, lakini i will dance, i will drink and have FUN!!

Jitihada zangu za kumtafuta ADI na kumpa majukumu hazikufanikiwa maana simu yake inaelekea ilikuwa imefungwa :):) baada ya kumpigia mara kadhaa basi majukumu yale nikaamua kuyakabidhi kwa mtu mwingine na baada ya kufuatilia nimeona ameyatekeleza vizuri kabisa :):)

Pole saana Bak kwa kuhangaika kunipigia simu na kunikosa... Nimefurahi lakini kua kila kitu kimeenda in line... na si wajua tena mambo ya Kempisky..... lol... Enways that means tunatoka formal, sababu ya kuvaa high heels tunayo, uwezo wa kuvaa cocktail attire tunayo na mwili wakuvalia tunao pia....lol (i kid nimenogewa na ryme)
 
Happy Birthday my beloved sister Keren, May God keep you strong,healthy,and guide you!

I wish you a year of Love,Joy,good-luck,peace and abundance of God's blessings!!

Love you & Enjoy the Rest of today!!
 
Enjoy your day. happybirthday puss.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom