~***~Happy birthday keren happuch~***~

Usijali dear... Na nimempigia simu nimekuta voice mail (eti mida ya lunch hii jamani.... VOICE MAIL??) Mtanisamehe ngoja nimfuate jamani nawaacha kidogo Khaaa!! maana hapa "Abiria linda Mzigo wako" lol

Happuch you are the baby... Hivo queen of the day... Whatever you say ni AMRI kwangu (hata kwa Shem) hivo naomba unipe masaa mawili ni-deal na Sweetie... narudi hapa.... Jipange na amua lini utakua na nafasi - kwa shopping bora Fridays sababu Weekends kuna watu wengi mno! So siku chagua dear....

My dear........hebu wahi kabisa...........

Kuhusu shopping........ Friday is perfect for me dear. Otherwise thank you for being around.
 
mimi hiyo keki ndiyo imetoa udenda! Keren kila la kheri katika kuzaliwa kwako upya lakini mambo mawili ya kujifunza, pima wapi umejikwaa ili iwe changamoto siku zijazo na pili samehe waliokukosea ili uishi kwa amani zaidi. Mwisho mungu akupe maisha marefu yenye baraka na mafanikio tele. Hb keren.

shika moooooo,,,,,
 
Thank my dear. I had good time with you.

Kwa habari ya huo "mtoko", nakusubiria uweke mipango, for sure will not miss that one.

About shopping, I love shopping. Thank you so much for the beautiful gift from your sweet....waoo that is good, I love it. And, thank you for the the gift from your shem.........naona shem wako mambo yake yako super....:). Sasa tunaenda lini shopping???!!!

Dah! Keren hili neno limekaa kama tusi :):) sijui kama linapatikana kwenye kamusi :):) labda kamusi ya 2013 :)
 
Dah! Keren hili neno limekaa kama tusi :):) sijui kama linapatikana kwenye kamusi :):) labda kamusi ya 2013 :)

Mhhhh jamani BAK............hilo neno linamaanisha "outing", nimelisikia watu wakilitumia pale wakimaanisha wanaenda outing au walikuwa outing nzuri..........SORRY kama limesound vibaya. Hope you know kabisa kinywani mwangu sio rahisi kabisa likatoka neno baya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
He he he....nilikimbia kweli,ndo nimerudi....sijambo dearest!! Birthday ya Keren iliendaje??

Mzima kabisa dear.... Birthday ya Happuch was a Blast... Kweli BAK anajua ku-organise mambo.... Nasikitika Uli-miss BUT we have a plan ya "a gals day out ukiwa na nafasi dear"
 
Thank you dearest. Ila ujue nilikukosa sana jana...:( Usiache basi kupitia hm, kuna kipande cha keki nimekuwekea...:)

Ooh Sorry dearest....ndo nilikuwa nashughulika na rufaa ya muhimili mmoja ili niende na miye kwa wana apolo.....nina mafua......lol

kipande changu cha keki nakipitia usijali asante sana ubarikiwe
 
Ooh Sorry dearest....ndo nilikuwa nashughulika na rufaa ya muhimili mmoja ili niende na miye kwa wana apolo.....nina mafua......lol

kipande changu cha keki nakipitia usijali asante sana ubarikiwe

Okay dearest.............all the best na hiyo rufaa na pole sana kwa mafua..........hope my dear AD anakutake care vizuri........soon you will be fine.

Enjoy your day.
 
Z
images
images

Let the God decorate each golden ray of the sun reaching u with wishes of success,
happiness and prosperity 4 u, wish you a super duper happy birthday.
 
Okay dearest.............all the best na hiyo rufaa na pole sana kwa mafua..........hope my dear AD anakutake care vizuri........soon you will be fine.

Enjoy your day.

Ooh yeah she is the best..maana siku hizi si unajua kila mtu akienda kwenye muhimili wa taifa pale, anakatiwa rufaa ya kwenda kwa kina ponjoro.....lol
 
With this compliment: This thread is officially Closed!!!

Need I Say More?

Shem umeona kazi hapa chini inaendelea?? Mtoto anatoka after seven days za kuzaliwa, ndo bado leo ni the third....

Z
images
images

Let the God decorate each golden ray of the sun reaching u with wishes of success,
happiness and prosperity 4 u, wish you a super duper happy birthday.
 
Okay dearest.............all the best na hiyo rufaa na pole sana kwa mafua..........hope my dear AD anakutake care vizuri........soon you will be fine.

Enjoy your day.

I try my best dear.. Jana ile "voice mail" kumbe yupo hoi na mafua (hadi yalinishuka) good thing leo ni nafuu saana. I hope umefurahi kaja, nimemuambia lazima ajikaze ariport hii mahala...

Ooh yeah she is the best..maana siku hizi si unajua kila mtu akienda kwenye muhimili wa taifa pale, anakatiwa rufaa ya kwenda kwa kina ponjoro.....lol

Sweetie mbona glass ya lime water haipungui?? utaniudhi sasa hivi....
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom