~***~Happy birthday keren happuch~***~

I try my best dear.. Jana ile "voice mail" kumbe yupo hoi na mafua (hadi yalinishuka) good thing leo ni nafuu saana. I hope umefurahi kaja, nimemuambia lazima ajikaze ariport hii mahala...

Sweetie mbona glass ya lime water haipungui?? utaniudhi sasa hivi....

Lol babe si nabaki nakuangalia tu....na sina dalili za kuchoka...lol....haya mafua nadhani yataisha yenyewe maana dalili za mimi kupandishwa ndege sizioni...thanks for being there jamani....nitapona tu...lol
 
....lol... We hujabanwa eeeh?? lol... Hapo juu - that am determined Love... my responsibility as well as obligation....
 
Mhhhh jamani BAK............hilo neno linamaanisha "outing", nimelisikia watu wakilitumia pale wakimaanisha wanaenda outing au walikuwa outing nzuri..........SORRY kama limesound vibaya. Hope you know kabisa kinywani mwangu sio rahisi kabisa likatoka neno baya.

Haya banaaa :):) Naona hiki ni kiswahili kilichochakachuliwa :):)....Usijali banaaa :) na hilo nalijua fika kwamba maneno mabaya kama hayo kwako ni MARUFUKU.

Siku na kazi njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom