~***~Happy birthday keren happuch~***~

Happy Birthday my beloved sister Keren, May God keep you strong,healthy,and guide you!

I wish you a year of Love,Joy,good-luck,peace and abundance of God's blessings!!

Love you & Enjoy the Rest of today!!
Thank you so much dear. I feel so special by having u around in my birthday. Ubarikiwe sana dear. Love u and miss u so much.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Juu yako I always mean what i say Happuch... Mungu ndo amekuwezesha uwepo wako hapa hivo sala muhumu dear , it is your big day sie twasubiri tu kwa hamu... Hakikisha tu umependeza maana naamini hii ndo mida yenyewe (hopefully white haitakosa katika uvaaji wako for i always imagine you in white...lol)
Utanisamehe saana however kua sijashikamana katika maandalizi, lakini i will dance, i will drink and have FUN!!



Kempisky..... lol... Enways that means tunatoka formal, sababu ya kuvaa high heels tunayo, uwezo wa kuvaa cocktail attire tunayo na mwili wakuvalia tunao pia....lol (i kid nimenogewa na ryme)
Thank you so much dear. I was happy to hv u around, and for sure we enjoyed :)
Ila sijui ulimwacha wapi swt wako...:)
 
Hivi nimepitiwa wapi wajameni?

Kwaniaba ya fellow tablet wangu

Naungana na watanzania walipa kodi, wafanyakazi na wakulima kukutakia mtanzania na mlipa kodi mwenzetu heri ya siku ya kuzaliwa.
Hivi ndo umefikisha miaka ishirini na ngapi vile?............. Mungu akubariki, akuongezee umri mara mbili ya huo au na zaidi kidogo ili uzae watoto wengi, waijaze meza yako wakati wa chakula.

Nigongee LIKE kwa baraka zaidi.
 
Hivi nimepitiwa wapi wajameni?

Kwaniaba ya fellow tablet wangu

Naungana na watanzania walipa kodi, wafanyakazi na wakulima kukutakia mtanzania na mlipa kodi mwenzetu heri ya siku ya kuzaliwa.
Hivi ndo umefikisha miaka ishirini na ngapi vile?............. Mungu akubariki, akuongezee umri mara mbili ya huo au na zaidi kidogo ili uzae watoto wengi, waijaze meza yako wakati wa chakula.

Nigongee LIKE kwa baraka zaidi.


Babu asante sana............nilikutafuta kweli jana....sijui ndo ulikuwa unapata.........:). Nasubiria zawadi yangu.............:eyebrows:

Mwenzio nimefikisha miaka 22....:) :).........karibia nitapata mchumba.....:)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom