Happy Birthday Ivuga

party inaendelea ma wisky na jack daniels ma vodka ma wine ma shampaigne.. Usipite mtu aliepa cm 2 toka kwako humuoniiiii
 
Naona besdei imeliwa kiukoo aya bana.....kila la kheri mkuu,nakutakia maisha marefu.
 
party inaendelea ma wisky na jack daniels ma vodka ma wine ma shampaigne.. Usipite mtu aliepa cm 2 toka kwako humuoniiiii
 


Happy Belated Birthday Bro.
kitu kimoja kinachofanya maisha yawe marahisi
ni kuwa na marafiki wa karibu wanao kufanya utabasamu.
wanao kutafuta kukujulia tu hali kwa ujumla watu ambao wanaonyesha
"UTU" kwa wengine.. Saint Ivuga kwa niliyosema hapo juu na mengine mengi umefuzu.

Nakuombea kila jema maishani kila neema na baraka itokayo kwa muumba.. na ninakuombea
miaka mia zaidi uone na vitukuu wako. I'm so blessed to have a brother like you in here..




​
 
Birthday Njema Ivuga.

Jamani wana ChitChat na JF kwa ujumla, kama kuna member humu anaitwa ABDUL MSULWA au MSHOSHA PHILIPO,
au yeyote anayewafahamu p'se anijulishe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…