HAPPY Birthday Inkoskaz

HAPPY B'DAY to you, HAPPY B'DAY to you, HAPPY B'DAY dear Inkoskaz, happy b'day to you! How old are you now? Kata keki tule! Godbless you sana!
Lovelly day...my wish to all other members who were born on this date
 
HAPPY B'DAY to you, HAPPY B'DAY to you, HAPPY B'DAY dear Inkoskaz, happy b'day to you! How old are you now? Kata keki tule! Godbless you sana!

Thanks my sweetlady...lovelly! Thanks fos a song
 
Mkuu,
Naomba sana mtafute MARIA ROZA, maana yeye pia B/Day yake ni leo, huenda kukawa na kitu fulani in-common kati yenu! ha h a haaa!

Otherwise Mkuu, Hongera sana, na uwe na siku njema sana!
Kikubwa na cha msingi, ni siku ya kujipima umekuwa na marafiki wangapi wa kutegemewa hadi leo!
Enjoy!
 
Asante sana PJ...nitantafuta MR tupate mvinyo kidgo...i wish ningekua a town tupate wote nyama choma pale lenana
 
Hongera sana mkuu kwa siku yako ya kuzaliwa...

Nakutakia heri na baraka tele....enjoy your day!
 
Happy birthday Inkoskaz

Mungu akupe maisha marefu....wewe na pacha wako Maria Roza.

Ukikua uwe mtundu kama avatar yako, sawa eh?.................Haya.....sema shkamoo babu.
 
Happy birthday Inkoskaz

Mungu akupe maisha marefu....wewe na pacha wako Maria Roza.

Ukikua uwe mtundu kama avatar yako, sawa eh?.................Haya.....sema shkamoo babu.
Babu shikamoo....thanks for ur wishes...namtafuta pacha MR cjui yupo kona ipi aje tukate keki na kuzima mishumaaa
 
Happy birthday mtoto mtundu.
 
Attachments

  • fruit-cake1.gif
    fruit-cake1.gif
    22.6 KB · Views: 31
Chetuntu hapo juu, muda si mrefu ntaanza kukuchukia.

Najua unalijua kosa lako....:sleepy::sleepy::sleepy:
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom