Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276
hakika humu kuna watu wana vichwa makini...yaani birth date was 16th and today i do mark 16th days...thanks DA
Ha ha ha inabidi mtu uwe makini usije chemsha bana haya siku ndo ishakuwa ya 17 kila la heri
hakika humu kuna watu wana vichwa makini...yaani birth date was 16th and today i do mark 16th days...thanks DA
husninyo hujambo...asante mwaya...umejificha sana,tumekuja mjengoni umejificha
Inka nimechelewa sana kukupongeza lakini nafurahishwa sana na zoezi lako as it appears kwenye avatar - hope hilo zoezi litakuongezea maisha -watalaam wanasema mazoezi ni afya. Happy Birthday!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Lovelly day...my wish to all other members who were born on this date
Mkuu naitafuta miong minne