mzee wa mayoutube, nitakunong'oneza baadae unitumie ile youtube. si unajua nisharekebisha. uporoto darling usisome hapa.
Heheeee aah sa mbona unaniangusha nawe! You can call me whatever you wish my dear Husninyo (sio jina baya lakini ntanuna)ahsante ndugu, sirudii tena. karibu tuparty.
siri yako, tukitoka comoro nitakupeleka italy ukachague viatu.Nimesoma badala yake... Unalo!
Dah! Speed yako kali sana 🙂🙂 Sikutegemea urekebishe haraka kiasi hiki 🙂🙂...ndio maana naona nanihii zimeongezeka idadi 🙂🙂 hongera zako. Haya ukiwa tayari we nitaarifu tu sina hiyana ya kukutimizia ombi lako.
Heheeee aah sa mbona unaniangusha nawe! You can call me whatever you wish my dear Husninyo (sio jina baya lakini ntanuna)
mbona nimekuja nikaambiwa sijaalikwa eti? (party crasher)
happy bday Hus,nakuombea kila lililo jema
Hela za Igunga bado anazo siku kwenye bendi wakongomani wanamuimbaHuyo lazima atakuwa ni klorokwini....mwambie hatupokei zawadi za kula, tunapokea cheque tu hapa... Husninyo na Uporoto wanahitaji pesa kwaajili ya kumalizia ujenzi wa nyumba ati....
Husn' naomba Cake kipande....lol..
Halii mtu hapa...lol!ukismile na mi nasmile, ukicheka na mi nacheka, ukilia utalia peke yako. eeeh bht dear njo huku mara moja
Sijazoea rushwa miye!....nimeapa kuilinda katiba ya jamuhuri ya muungano wa jf....siri yako, tukitoka comoro nitakupeleka italy ukachague viatu.
Halii mtu hapa...lol!
Huyo mlinzi mbavu mbili baunsa kanaifukuza siji cha kushangaza cheki kaichukua!
Sijazoea rushwa miye!....nimeapa kuilinda katiba ya jamuhuri ya muungano wa jf....
Hebu kuwa mkweli jamani... Umealikwa?.... Na nani?... Mzamiaji wewe!Heheeee aah sa mbona unaniangusha nawe! You can call me whatever you wish my dear Husninyo (sio jina baya lakini ntanuna)
mbona nimekuja nikaambiwa sijaalikwa eti? (party crasher)
Mimi ni msaidizi wa Paw siku nyingi...au kwa vile sijaanza kuwapiga ban eeh?...khaa, basi ngoja tuongee na maxence akupe u-mod part time lakini.
heri ya kuzaliwa
Mimi ni msaidizi wa Paw siku nyingi...au kwa vile sijaanza kuwapiga ban eeh?...
Hebu kuwa mkweli jamani... Umealikwa?.... Na nani?... Mzamiaji wewe!