Happy Birthday Husninyo!

Huyu Sharohusninyo yuko wapi kuna mtu hapa kaleta zawadi ya Azam Cola na mahindi ya kuchoma

hahahah, we sharobaro hayo mahindi niwekee hadi mtoto niote meno. azam cola lete hukuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Happy Bday mamii mungu aendelee kukulinda me luv you very much nitakuja hapo mida mida
be good

waooh, nice to see you hapa jf-chitchat-happy birthday thread. karibu sana. unaendeleaje? mi nimekusubiri sana pande hizi.
 
Huyu Sharohusninyo yuko wapi kuna mtu hapa kaleta zawadi ya Azam Cola na mahindi ya kuchoma
Huyo lazima atakuwa ni klorokwini....mwambie hatupokei zawadi za kula, tunapokea cheque tu hapa... Husninyo na Uporoto wanahitaji pesa kwaajili ya kumalizia ujenzi wa nyumba ati....
 
Ah, leo nipo sana... nini kinaendelea hapa? kuna mtu amehsa fanya mpango wa Chippendale au tunasubiri wanaume waondoke? lol

hivi hukupewa jukumu lako eeh, mpango mzima anao mr and mrs kaizer. ingia ndani tuanze mambo. halafu wanaume wote leo walinde sungusungu mlangoni.lol
 
hahahahaha, we bak wewe si ulikuwa unanibip.

Mhhhh! πŸ™‚πŸ™‚....Huyo aliyekuwa anakubip siye BAK πŸ™‚πŸ™‚ miye nilipiga akapokea baniani nikabaki kupigwa na mshangao tu πŸ™‚πŸ™‚

Last edited by a moderator:
hivi hukupewa jukumu lako eeh, mpango mzima anao mr and mrs kaizer. ingia ndani tuanze mambo. halafu wanaume wote leo walinde sungusungu mlangoni.lol
Kama wamesha panga ngoja nirelax tu mimi sasa... :eyebrows:
 
husninyo akifa...mimi siwezi kulia...ntamtupa kagera..awe chakula cha mamba..*4
nyimbo zetu enzi za idd amin dada.
 
Huyo lazima atakuwa ni klorokwini....mwambie hatupokei zawadi za kula, tunapokea cheque tu hapa... Husninyo na Uporoto wanahitaji pesa kwaajili ya kumalizia ujenzi wa nyumba ati....

safi kabisa bodigadi, tumekuongezea mshahara60%. mwambie zile nyumba zetu za kigamboni na masaki ndio hazijaisha ila za upanga na mikocheni tayari.lol.
 
Mhhhh! πŸ™‚πŸ™‚....Huyo aliyekuwa anakubip siye BAK πŸ™‚πŸ™‚ miye nilipiga akapokea baniani nikabaki kupigwa na mshangao tu πŸ™‚πŸ™‚

mzee wa mayoutube, nitakunong'oneza baadae unitumie ile youtube. si unajua nisharekebisha. uporoto darling usisome hapa.
 
Last edited by a moderator:
tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Khaaah! Umemshtua b'guard, nimekuja mbio kuangalia whats wrong meeen?....hivi mamkwe tutampa adhabu gani akija?..nilikuwa nasikiaga tu kwa watu kuwa mamawakwe wana visa, leo ndio nimeamini...lol
 
Khaaah! Umemshtua b'guard, nimekuja mbio kuangalia whats wrong meeen?....hivi mamkwe tutampa adhabu gani akija?..nilikuwa nasikiaga tu kwa watu kuwa mamawakwe wana visa, leo ndio nimeamini...lol

usishtuke bodig, halafu huyu mamkwe sijui ameanza lini visa. lol, au bamkwe kashamtwanga mangumi anauguza majeraha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…