Birthday girl mjanja sana usikute amieshaenda viwanja tayari
Shemu nishapita pande hizi, King'asti pia yupo njiani anakuja...tulikuwa busy tunashughulikia ukumbi na mapambo....hivi twaelekea saluni kumchukua your lovely Husninyo, wewe tangulia tu ukumbini tukutane huko...hakikisha The Finest hatoki hapo mlangoni manake kwenye b'day yangu tulimweka klorokwini mlangoni akaanza kulewa kabla sherehe haijaanza, matokeo yake wazamiaji wakawa wengi na kusababisha usumbufu kwa wageni waalikwa...hakikisha The Finest hakunywi bia mpaka tumalize sherehe yetu. Mpe maji tu shemu.....Shukurani kwako Kaizer kwa kuokoa jahazi si unajua jana tulikuwa tunaomboleza kibongo(kaunta ya juu), nimeacha maagizo kuna chupa kubwa ya Grants kaunta kama shukurani zangu,nawashukuru pia Aspirin,Bebii,Preta,V of R,Finest,Aminata,Ashadii na wengine wote mliopita hapa. Kuna watu sijawaona bado labda wako njiani King'asti na shemeji langu Sweetlady.
Husninyo i wish you a happy birthday,good health and lots of happiness(by my side ofcoz lol!)
Jamani mhusika mkuu yuko wapi?Nimetuma zawadi kwenye basi la Mohamed Trans. Nimetuma rubisi,enkanja,obushwa,ensenene,enkonyagi,ekimpumu,ekindi na ebikwara plz my baby husn nenda ukapokee pale Ubungo terminal
waooooooohhhhhhh, jamani hadi vimachozi vimenitoka kwa furaha. ahsanteni sana. duh, mtoto leo hawezi kujibu kila post ila ningependa kutoa shukrani zangu kwa
kaizer & ashadii----------- huyo ni mjomba angu na mkewe(yaani shangazi) ndio walezi wangu hapa.
uporoto____________ jamani huyo ni mume wangu, ndie anayeniweka mjini ananifanya ning'ae. lol
voiceofreason__________ahsante kwa busara zako na kuwa rafiki mwema.
the finest $ caroline danzi______________ nyie wapendwa wangu sijuti kuwafahamu, natamani ningewafahamu mapema zaidi. lol
Asprin & klorokwini______________ mwanchekesha sana jamani. halafu we babu nimeona umenichafulia cv humu. piga goti kabla mtoto sijakojolea suti yako.
MASHOSTI
Sweetlady____________ huyu ni zaidi ya shosti, bodigadi langu hili, linacheza kareti kama jakishen. lol
wiselady $ kerren hap ________wapiga chabo, wakiingia jf ni nadra kukutana nao ila nawapenda hao.
preta______________ wewe natamani mpwapwa niihamishie yaeda mwenzio.
bht_______________ ukicheka na mi nacheka shosti
russianro_________duh jina lako gumu ila ugumu wake unazidi kunivutia kila siku.
aminata $ Bebii__________sijawafahamu muda mrefu ila wanipa raha. lol
faizafoxy__________ wanchekesha
WAPENZI
BAK
salanga
alexism
RR
Chatu dume________ ahsante kwa zawadi ya air time, mkabidhi Tf hapo mlangoni atanifikishia.
Tanmo____________ we umeuliza umri wangu,...................... mi ni kibibi aisee.
rejao
ritz
mamdenyi
maamuma
mpita njia____________ ahsante hujapita hivi hivi.
bigirita
washawasha
mtm
ibrah
mwakalinga
lukansola.
mr rocky
shukrani za dhati kwa king'asti mama mzaa chema bila kusahau hamisi kishindindo aka nyani ngabu.
NAWAPENDA SANA.
Habari ake binafsi wifi langu la ukwee'! Nimekumisije leo?... Nifikishie salamu zangu za upendo wa dhati kwa shemeji langu la ukweli Kaizer...aka mjomba husninyo...Hafadhali wamekupata aisee... Nilianza kua na wasi.... mjomba yako kutwa kupiga simu kama umefika hapa! Mpenzi FURAHA Zaidi ipo kwetu na tunafurahi saana na kujiona wenye bahati kwamba mie na Mjomba wako Kaizer ndio hasa walezi wako.... Tunakupenda kama wanetu na hilo ni wazi maana wao hujisikia ni dada yao Mkubwa.... Tumeandaa kila kitu vile upendavo... ila kuna baadhi tu ya vitu vilivo Miss Mjombayo kenda fuatilia hivo usiwe na wasi anakuja.... Kumbuak kua TUNAKUPENDA Saana dearest...
Thanks a lot love... 'TUNAKUPENDA SANA PIA'.....waooooooohhhhhhh, jamani hadi vimachozi vimenitoka kwa furaha. ahsanteni sana. duh, mtoto leo hawezi kujibu kila post ila ningependa kutoa shukrani zangu kwa
kaizer & ashadii----------- huyo ni mjomba angu na mkewe(yaani shangazi) ndio walezi wangu hapa.
uporoto____________ jamani huyo ni mume wangu, ndie anayeniweka mjini ananifanya ning'ae. lol
voiceofreason__________ahsante kwa busara zako na kuwa rafiki mwema.
the finest $ caroline danzi______________ nyie wapendwa wangu sijuti kuwafahamu, natamani ningewafahamu mapema zaidi. lol
Asprin & klorokwini______________ mwanchekesha sana jamani. halafu we babu nimeona umenichafulia cv humu. piga goti kabla mtoto sijakojolea suti yako.
MASHOSTI
Sweetlady____________ huyu ni zaidi ya shosti, bodigadi langu hili, linacheza kareti kama jakishen. lol
wiselady $ kerren hap ________wapiga chabo, wakiingia jf ni nadra kukutana nao ila nawapenda hao.
preta______________ wewe natamani mpwapwa niihamishie yaeda mwenzio.
bht_______________ ukicheka na mi nacheka shosti
russianro_________duh jina lako gumu ila ugumu wake unazidi kunivutia kila siku.
aminata $ Bebii__________sijawafahamu muda mrefu ila wanipa raha. lol
faizafoxy__________ wanchekesha
WAPENZI
BAK
salanga
alexism
RR
Chatu dume________ ahsante kwa zawadi ya air time, mkabidhi Tf hapo mlangoni atanifikishia.
Tanmo____________ we umeuliza umri wangu,...................... mi ni kibibi aisee.
rejao
ritz
mamdenyi
maamuma
mpita njia____________ ahsante hujapita hivi hivi.
bigirita
washawasha
mtm
ibrah
mwakalinga
lukansola.
mr rocky
shukrani za dhati kwa king'asti mama mzaa chema bila kusahau hamisi kishindindo aka nyani ngabu.
NAWAPENDA SANA.
Shemu nishapita pande hizi, King'asti pia yupo njiani anakuja...tulikuwa busy tunashughulikia ukumbi na mapambo....hivi twaelekea saluni kumchukua your lovely Husninyo, wewe tangulia tu ukumbini tukutane huko...hakikisha The Finest hatoki hapo mlangoni manake kwenye b'day yangu tulimweka klorokwini mlangoni akaanza kulewa kabla sherehe haijaanza, matokeo yake wazamiaji wakawa wengi na kusababisha usumbufu kwa wageni waalikwa...hakikisha The Finest hakunywi bia mpaka tumalize sherehe yetu. Mpe maji tu shemu.....
Hafadhali wamekupata aisee... Nilianza kua na wasi.... mjomba yako kutwa kupiga simu kama umefika hapa! Mpenzi FURAHA Zaidi ipo kwetu na tunafurahi saana na kujiona wenye bahati kwamba mie na Mjomba wako Kaizer ndio hasa walezi wako.... Tunakupenda kama wanetu na hilo ni wazi maana wao hujisikia ni dada yao Mkubwa.... Tumeandaa kila kitu vile upendavo... ila kuna baadhi tu ya vitu vilivo Miss Mjombayo kenda fuatilia hivo usiwe na wasi anakuja.... Kumbuak kua TUNAKUPENDA Saana dearest...
Nakutakia siha njema, uzidi kuwa kama ulivyo yaan ze Hus... Mungu azidi kukupa furaha aman zaidi sana upendo, bila kusahau utu wema!! Hapi birthday mrembo.
Habari ake binafsi wifi langu la ukwee'! Nimekumisije leo?... Nifikishie salamu zangu za upendo wa dhati kwa shemeji langu la ukweli Kaizer...aka mjomba husninyo...
Bak if you don't mind.... naomba Uni uploadie wimbo wa "FOREVER YOUNG" kwa ajili ya Birthday gal Husny... Version ya Jigga.
antii nilikuwa nanyonya kwanza. sahivi nimeshiba. lol. ahsante sana.