Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Kwanza tumshukuru mungu kwa kutoa kibali kwa wazazi wako ukapatika wewe kipenzi cha watu

Pili tuishukuru jamii kwa malezi waliyo kupatia

Tatu ni kushukuru wewe kwa kuwa mmoja wa wanao wajali wengine kama unavyo jijali

Nne endelea kuwa na upendo kwa watu wote wakubwa kwa wadogo

Kumbukuka kila anaeleta chukizo kwako ni moja ya jaribu unalo takiwa kulipia

Mwisho nikitakie siku yako ya kuzaliwa na mungu akupe miaka mingi zaidi ili ujifunze mengi na wengine wajifunze kutoka kwako
Naona umeshusha Makinikia hapa, angalia vizuri yasije yakazuiwa Bandarini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom