Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,047
- 3,407


nachoshukuru ni kwamba hujakosa cha kuandika... Umeandika hiki ninacho reply sasa



nachoshukuru ni kwamba hujakosa cha kuandika... Umeandika hiki ninacho reply sasa

Penzi letu na Hajar nimeanza kuchanua juzi juzi tu kwenye uzi ule wa mashairi. Hivyo ni vigumu uwe umepata taarifa mapema hivyohapan kwa kweli ingekuwa ni kweli kam unavyoniaminisha taarifa ningekuwa nayo siku nyingi tu pole kwa kuchelewa lkn
ngoja nije jirani ujirani uzidi kunogaSawa ujue ninapo hamina kuna nyumba inahitaji mpangaji njoo uicheki jirani
Kwanza ni furaha kwake kuukaribia uzee maana sehemu nyingi wazee wanahitajika kwaajiri ya kuweza kuwafundisha vijana Na kuwakumbusha wanatakiwa kuwaje ili waufikie uzeeila mkumbushe ndo uzee huo unamkaribia asifurahie keki tu dada ako
pole kwa mara ya pili hata lingechangua asubuh ya saa mbili taarifa ningekuwa nazo kwa mara ingine poleeePenzi letu na Hajar nimeanza kuchanua juzi juzi tu kwenye uzi ule wa mashairi. Hivyo ni vigumu uwe umepata taarifa mapema hivyo
Nitafurahi sana jirani ngoja nimwambie mwenye nyumba kuwa tayar mpangaji kapatikanangoja nije jirani ujirani uzidi kunoga
mwambie kwa kweli na leo ftar kwanguNitafurahi sana jirani ngoja nimwambie mwenye nyumba kuwa tayar mpangaji kapatikana
pole kwa mara ya pili hata lingechangua asubuh ya saa mbili taarifa ningekuwa nazo kwa mara ingine poleee


umeamua kujiaminisha hivyo baki hivyo siwez kukubadilisha. Thanks a lot my dear friend.
Nadhani unajua vile nafasi yako ilivyo kubwa kwenye moyo wa Hajar. Ubarikiwe mnoo.
![]()
![]()
![]()
![]()
umeamua kujiaminisha hivyo baki hivyo siwez kukubadilisha.
Ndo maana hujaona alipokanusha...
pole kwa mara ingineSawa jirani maana hapa nimesha mpigia simu amesema haina shidamwambie kwa kweli na leo ftar kwangu
fanya kurekebisha basi jiran nakuaminiaSawa jirani maana hapa nimesha mpigia simu amesema haina shida
Sawa akikujibu nitagmmmh ngoja nimuulize huu uzee karidhika nao kabisa
@Hajar ukuje hukuSawa akikujibu nitag