Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Daaaah. Yaani umejua kunisuuza Da'Vinci sababu huo wimbo huwa najikuta naupenda tu hata kwa siku za kawaida huwa sichoki kuusikiliza. Ahsante.

Hahahaa. Lol. Haraka hizo ndugu za kutaka kujua yaliyopo duniani. Karibu sana sana sana.

Popote nitakapokuwa napafahamu sitasita kukutembeza aiseee. Karibu

Ahsanteeeee naomba unitembeze mtaa wa PM nitafurah zaid uwepo wako dunianj
 
I know your birthday is a special day with or without me, but I have to say that you are the best friend I’ve ever had! Happy Birthday

AAAAAElFTkSuQmCC.png
 
Ahsante sana KIOO rafiki mchokozi wa Hajar sababu hii leo kwangu limekuwa bonge la Suprise aiseee.

Ubarikiwe mno mno rafiki najua kuna vingi mno ambavyo tunaendana na ndio sababu damu zetu zikaendana kiasi hiki. Be blessed rafiki.

Sasa hajar leo cku yako nakuja kukumwagia
Maji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom