hap b.day Asprin..mungu akupe baraka na kheri katika maisha yako yote yaliyo baki hapa duniani.katika kuadhimisha cku yako ya leo plz wasamehe waliokukosea.wapende wote wanaokupenda na wanaokuchukia.yatafakari maisha yako ulipoanguka simama na ujipange kwa upya..ulipofanikiwa ongeza juhudi.usisahau kumshukuru mama kwa malezi yote aliyokupa hasa kukubali kukuweka tumboni miezi tisa.jiulize angekutoa leo hii ungekuwa wapi.baba pia ananafasi yake katika shukrani.usisahau kumwabudu mungu wako na kumshukuru katika kila jambo....NAKUTAKIA MAISHAMAREFU NA MIAKA MINGI HAPA DUNIANI.