Happy Birthday Depal

Happy Birthday Depal

Kuna bazazi kule juu amesema atamhonga RangeRover Sports..... Ananikata stimu kweli😂

Natamani kumuona binti alivyo walah maana namsoma tu
daah ushindani ni mkubwa sana,
sema mi nitampa nissan maxima itamfaa mrembo Depal
2019-nissan-maxima-13-1543443384.jpg
 
miss paul laswai debra.... sijajua kama kumbukumbu zangu zipo vizuri niliona jina lako mahali.. ishi sanaaa
 
Kuna bazazi kule juu amesema atamhonga RangeRover Sports..... Ananikata stimu kweli😂

Natamani kumuona binti alivyo walah maana namsoma tu
Mi sio bazazi ni KIDUME mkuu💩

😠😠😠

We unamwonaje depal
 
Kwa hiyo ulijua kabisa dadako sina hata mia ya kukununulia kamvinyosio??
Anyway unajua dadako nakupenda hivyo hivyo na maringo yako
Nakutakia maisha yenye mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za kimaisha, zaidi sana upate maheraaa nikija A town tuishi

HBD mrembo wangu@Depal
 
Back
Top Bottom