poa, nadhani tyson saba hivi zinamfaa au unasemaje mtaaalamu wa party.anatumia tyson
Daaaaaaah, halafu umenikumbusha ngoja nipige simu nijue swala la keki limefikia wapi. Maana leo kila mtu atasingizia MVUA hapa DAR.DA keki tunakula mitaa gani ??
kwani mkuu wewe na Bishanga ni kabila moja???
poa, nadhani tyson saba hivi zinamfaa au unasemaje mtaaalamu wa party.
WEWE NDIO ULIANZA KUSEMA AMEMLAANI DENA NDIO MAANA NIKAKUULIZA MPO KABILA MOJA??? MAANA ULIJUA ILE NI LAANA BASI HUENDA NI WAMOJA,SIE WENGINE TULIONA NYOTANYOTA TU.Aaaaaaaaaaaah kuhusu kabilla lako usijali nitakukumbusha Baba ni mzaramo na mamaaaaaa..........mhhhhh kuhusu mama sikumbuki vizuri ngoja nimpigie simu babu yako JIBU ATAKUWA NALO.Mhhhh Tall,
Nitajuaje wakati hata kabila yangu nilishaisahau??
anachanganya na chubuku 5 za mbege bila kusahau ugoro pakiti 1
Dena asowa'a loe laali................ lama mawe!!.
Ningekuwa dena nsingekubali salamu yako mpaka ubadilishe avatarMay the sun's rays shine brightest on you today with the wind at your heals. Happy Birthday DENA
Mweleze kabisa chibuku HAITAKUWEPO. Akitaka akanzie hukooooo madongo poromoka akija pale anileteee risiti nitamrefund mimi mwenyewe kama mwenyekiti. lakini chibuku hataikuta. Halafu kuhusu ugoro daaaaah hapa ngoja ninyamaze. Lakini ongea nae taratibu si unajua ni mtu mnzima HESHIMA MBELE.anachanganya na chubuku 5 za mbege bila kusahau ugoro pakiti 1
Ningekuwa dena nsingekubali salamu yako mpaka ubadilishe avatar
KIPI HUKIPENDI KWENYE AVATAR YAKE??? Halafu huyu jamaaa nikimualika sijui watu wataconcetrate kumuangalia tuuuu badala ya kusheherekea birthday ya DA??Ningekuwa dena nsingekubali salamu yako mpaka ubadilishe avatar