Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,260
KIPI HUKIPENDI KWENYE AVATAR YAKE??? Halafu huyu jamaaa nikimualika sijui watu wataconcetrate kumuangalia tuuuu badala ya kusheherekea birthday ya DA??
Huyo hawezi kukosa Mjomba nilishamwalika tayari.
KIPI HUKIPENDI KWENYE AVATAR YAKE??? Halafu huyu jamaaa nikimualika sijui watu wataconcetrate kumuangalia tuuuu badala ya kusheherekea birthday ya DA??
Tall na wooooooooooooooooteeeeeeeeeeee
Nimekosa maneno kabisa hata kuandika nashindwa vile n
nilivyokuwa na furaha nasema ASANTENII SAAANAAA WOTE
SINA CHA KUSEMA NIMEBAKI NAFURAHIA TU
MBARIKIWE WOOOOOOTEEEE
NAWAPENDA NA NINAWASHUKURU SANA KWA KUNIKIA HERI YA KUZALIWA
HAPPY BIRTHDAY KABAKABANA MY DEAR
sawa nitamtumia pm ya mwaliko na maelekezo.huyo hawezi kukosa mjomba nilishamwalika tayari.
mwalimu wa lugha unaniangusha bana. Umekosa maneno hayo uliyoandika nini?
tupe cv yako kwanza,unaishi wapi,mtaa gani na wadhamini wawili.
ufike kwenye sherehe siyo sister sister, undugu ndio huo fika kwenye shughuli ya ndugu yako.Happy birthday my sweet sister
ufike kwenye sherehe siyo sister sister, undugu ndio huo fika kwenye shughuli ya ndugu yako.
wanaofuga mbwa wako wengi bana, mfuga mbwa wa wapi unapoishi???naishi kwa mfuga mbwa, ntakuja na mwenyekiti wangu wa mtaa na balozi
happy birthday for your exam.Nalog off
wanaofuga mbwa wako wengi bana, mfuga mbwa wa wapi unapoishi???
Happ bday to u, dena amsi,toto la kujitanda. Luv u
happy b day dena.....
nakupa wimbo wa vifuutundu uuusikilize lol
Khaaa, siamini kama party limenipita hivi, hivi. DA tafadhali nkusanyie hayo masufuria niletee huku uani nianze kuyaosha... Nimemwagiza Husninyo akanunue stili waya simuoni mpaka sasa hivi, mpe tall sh 50 anletee nkanunue nyingine,...lol.Haya ngoja nipate mesage