Khaaa, siamini kama party limenipita hivi, hivi. DA tafadhali nkusanyie hayo masufuria niletee huku uani nianze kuyaosha... Nimemwagiza Husninyo akanunue stili waya simuoni mpaka sasa hivi, mpe tall sh 50 anletee nkanunue nyingine,...lol.
Happy birthday mpendwa, mungu akupe maisha marefu kama ya bi kidude!
Aaaaaaaaah,sema sawa sawa basi. Halafu wewe ni jirani yangu, utanitajia tu jina la mjumbe mambo yatakuwa safi hata hivyo kila kitu kilshakuwa tayari.....karibu.Hiyo tenda unanipa au vipi?
Unanzingua tu ntankuchenjie na mtoto wako
chezea tandale kwa mfuga mbwa?
Hahaha! Asante kwa kuniondolea adhabu.Yaani hapa huna kesi hii adhabu uliyojipa inatosha kabisa mtoto mjanja wewe
Maana nilivyokuwa nimekupania kukupa adhabu usiombe kabisa
Hahaha! Asante kwa kuniondolea adhabu.
Hebu mwangalie Fidel naona amelewa sana afu anataka kuondoka na glasi za watu...hivi si tulimwambia klorokwini alinde wazamiaji hapo getini? Keshatoroka mbaya zaidi kabeba na chupa za biya, kuna kreti hapa chupa 10 hazionekani...
Huyo ndo kawaida yake glasi tutalipa hatuna jinsi
The Finest aliondoka kabeba uma na kisu nkamuliza kulikoni akadai eti ni vyake alikuazima kwa mda, ya kweli haya DA?
Huyo kaiba kavikuta hapa ungeniambia mapema ila nitampigia we mwache tu
Shemeji ako Bishanga alipita akasema umbakishie keki anawahi kanisani, eti ana apointimenti na baba mchungaji Masanilo, hivi DA bishanga kaokoka siku hizi? Manake alivyopita aliomba apatiwe maji tu..
Live Longer ai nina! Have Blast one
Thats my girlie......... ndo maana sitaacha kukupenda wallah......... na wenye wivu wameze mkasihahahahahah safi sana mamake..
Mi mkoloni wangu kanibana kesho
kubeba mabox kama kawa.. haya enjoy
ukimuona babu ASPRIN mdondoshee hiiii..
![]()
![]()
Nisingewahi ulivyo mroho si ningetoka bila bila......:hat:kabla sijadondosha kesha daka khaaa babu huyu kwa vimiminika( kileo)
Huyu mtoto nae sijui bado kalala???maana shughuli ya jana si mchezo, ngoja nimtafute aje achukue zawadi yake.Hongera BIBIE... Niko na zawadi yako, nikusubiri wapi?
Huyu mtoto nae sijui bado kalala???maana shughuli ya jana si mchezo, ngoja nimtafute aje achukue zawadi yake.
,
Wifi yangu Dena Amsi HONGERA saaaana Kwa Kuongeza Umri.
Mwenyezi Mungu Akujaalie na Kukubariki uwe na Maisha Mareeeeefu yenye baraka tele!
:flypig:.....HAPPY BIRTHDAY DEAREST......:flypig:
Usijali mtoto mpya.. Haya pokea hii zawadi wa niaba ya waliokusahau....
![]()