- Thread starter
- #61
Hili swali ngoja aje ajibu mwenyewe.Haya shemeji ubarikiwe sana siku ya leo.
Hivi bado ni under 17 au ni Twiga stars!?
Hili swali ngoja aje ajibu mwenyewe.Haya shemeji ubarikiwe sana siku ya leo.
Hivi bado ni under 17 au ni Twiga stars!?
happy birthday da.1.leo mtoto wa kike dena amsi amezaliwa......hongera sana dena kutimiza miaka....??...leo
2.mungu akulinde,akubariki na akuzidishie milele na milele.
Leo wana jf tunaunganisha sherehe za miaka 50 tunaanzia hapahapa, tunaanza na hii ya dena, kesho uhuru.......
Kufikia jumatatu kimeeleweka. Sijui viwanja/maeneo gani vinafaa, kule kwangu tandale kwa mtogole hakufai kuna matope. Leo mvua kubwa. Sijui tukaanzie kule kule kwenye maonyesho viwanja vya sabasaba??.
Leteni mapendekezo wapi safi na daaaaaah kaubaridi ka leo???? Mwenye kutumia konyagi sawa, mwenye kunywa mbege poa,
na mnywaji wa mtakatifu anna ( saint anna) sawa vilevile, haya niambieni ni wapi na utatumia nini?? Mjue mimi mwenyekiti wa kamati ya sherehe......weka mapendekezo hapa live....pm haziruhusiwi.
Happy birhday dena amsi
utakuja kwenye party ya nduguyo???
Ha ha ha ha umenichekesha sana, basi jikoki tu time ikifika nitaku PM nikueleze ni wapi na saa ngapi na password ya kuingilia si unajua tena bila password getini hupiti.mie kwa party balaa nishajianda saa nyingi..............kutakuwa na zile chupa white na blue kama hizijui hebu mwulize AD
mie kwa party balaa nishajianda saa nyingi..............kutakuwa na zile chupa white na blue kama hizijui hebu mwulize AD
mwine buswangili hawajambo????🙂🙂🙂 :juggle:HAPPY BIRTHDAY DENA AMSI:juggle: 🙂🙂🙂
Ha ha ha ha umenichekesha sana, basi jikoki tu time ikifika nitaku PM nikueleze ni wapi na saa ngapi na password ya kuingilia si unajua tena bila password getini hupiti.
Just for you Blaki Womani.......![]()
we kiboko, mbona idara zote unafit???? nafikiria uwe makamu wangu aka makamu mwenyekiti.Just for you Blaki Womani.......![]()
Daaah AD asante sana kwa zawadi
nimepata kiu ghafla. ngoja niishughulike sasa
mkoloni atajiju kesho mapumziko
Tuliza ball blackwoman si unajua??? wajanja kibao,halafu leo masaa hayaendi kabisa.nasubiri PM unajua kesho hakuna job kujigaragaza bila kuogopa mning'inio
hahahahahah safi sana mamake..
Mi mkoloni wangu kanibana kesho
kubeba mabox kama kawa.. haya enjoy
ukimuona babu ASPRIN mdondoshee hiiii..
![]()
![]()
Mhhhhhh!!!!!!!!!! picha zingine lazima umeze mate.hahahahahah safi sana mamake..
Mi mkoloni wangu kanibana kesho
kubeba mabox kama kawa.. haya enjoy
ukimuona babu ASPRIN mdondoshee hiiii..
![]()
![]()
Umenikumbusha,idara ya vinywaji wamenitumia ujumbe wakiuliza huyu babu huwa anatumia nini KONYAGI PORI AU.........kabla sijadondosha kesha daka khaaa babu huyu kwa vimiminika( kileo)
Umenikumbusha,idara ya vinywaji wamenitumia ujumbe wakiuliza huyu babu huwa anatumia nini KONYAGI PORI AU.........
Ebu ninog'oneze AD naamini huyu babu hatasikia asije akany'aka. LAZIMA KILAMTU APATE ILE KITU ROHO INAPENDA.