Happy birthday - dena amsi

Happy birthday - dena amsi

0066.gif

0004.gif
0005.gif
0014.gif
0001.gif

0001.gif
0013.gif
0019.gif
0009.gif

Happy B,day Mamii..look at this nice gift from Afrodenzi
 
Hapo ndio nini Bishanga??

Unamlaani mwenzio badala ya kumrushia pongezi na zawadi!!
Eti??? haiwezekani bana,japo sijui maana ya hayo maneno lakini Bishanga ni kati ya wastaarabu wachache tulio nao. HAWEZI KUFANYA HIVYO.
 
ni nadra sana kukuta humu jamvini vidume vinatakiana birthday njema vyenyewe kwa vyenyewe.mara nyingi ni opposiste sex ingawa watapinga kuwa umejuaje kuwa mi ni jinsia fulani.Haya wazee wa vikopa endeleeni na mambo yenu!

vidume mara nyingi sio washobokeaji wa haya mabo ya birthday, mara nyingi hawana time nazo na ndio maana ni nadra sana kukuta kidume kimeandaa sherehe ya birthday tofauti na wanawake, hata katika sherehe za kawaida watu active ni wanawake katiaka kuhakikisha sherehe imefanyika na imefanikiwa. Ni nature mkuu hivyo usishangae sana.
 
Eti??? haiwezekani bana,japo sijui maana ya hayo maneno lakini Bishanga ni kati ya wastaarabu wachache tulio nao. HAWEZI KUFANYA HIVYO.

Hudhani eti....???

Basi mwombe Bishanga mwenyewe atueleze sijui dictionary au thesaurus yake inasemaje katika kizungu cha bongo!!

Ila binafsi nina wasi wasi sana labda pia tunaweza kuomba msaada wa independent consultant!!
 
jamani hapy birthday,ndo maana nakupenda kumbe tumezaliwa siku moja
inawezekana, hata mwaka ni mmoja.....sijui tuunganishe sherehe hii ya mjomba wangu na yako????
 
Umeona eeeeeeh?? IMETULIA, na kazi nimempa.... MWENYEKITI KAMATI YA MAPAMBO.

kamati ya vinywaji amepewa nani mkuu? Maana wknd hii na jinsi hali ilivyo ngumu baa hakuendeki.
 
Eeeeeeeh,hii safi nadhani utafaa kuwa kwenye kamati ya mapambo ya birthday party ya mjomba wangu DA.

Duuuuhhhhh asante mkuu,
Kamati ya vinywaji wakipelea mi niko hahahah lol
 
vidume mara nyingi sio washobokeaji wa haya mabo ya birthday, mara nyingi hawana time nazo na ndio maana ni nadra sana kukuta kidume kimeandaa sherehe ya birthday tofauti na wanawake, hata katika sherehe za kawaida watu active ni wanawake katiaka kuhakikisha sherehe imefanyika na imefanikiwa. Ni nature mkuu hivyo usishangae sana.
Kama maisha yako Mungu amekusaidia yanaenda sawa, UTAKUMBUKA SIKU YA KUZALIWA na UTASHEHEREKEA, ndio maana tunaona sherehe za kuzaliwa za NELSON MANDELA na Hata Nyerere walisheherekea(je hao sio VIDUME??).....ila kama maisha yanaenda NDIVYO SIVYO I Mean umepigika............Lazima usikumbuke ulizaliwa lini na wala huna sababu ya kufurahi.
 
Back
Top Bottom