Happy birthday darling

happy bday best Mungu akuongoze akulinde akupe furaha tele maishani mwako kama una mapacha upate doubledouble au couple kabisa
 
happy birtuhday kiwatengu mungu akuongezee furaha+Amani+Mafanikio
 
Last edited by a moderator:
happy bday best Mungu akuongoze akulinde akupe furaha tele maishani mwako kama una mapacha upate doubledouble au couple kabisa
ladyfurahia nakushukuru sana kwa maneno yako yaliyojaa utamu..

Nimependezwa nayo sana..ukijazia na hayo ya kwenye signature yako..
THANKS
 
Last edited by a moderator:
mmmh ni wako akiwa kwako akiwa nje si wako...tutabanana hapa hapa

huko mwala makombo tu mana hapa anatoka keshamaliza kila kitu so endelea kula makombo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…