Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,746
- 113,205
Si hapo juu ya chini yake 😅Wapi sijaona jirani 😂😂😂
Si hapo juu ya chini yake 😅Wapi sijaona jirani 😂😂😂
Ila kirikou unajitahidi kila mtu unataka kujiweka kwake!!!? 😂😂😂Nakuja mama ucjar maana nipo single
MxxiewwwwSi hapo juu ya chini yake 😅
Nina maswali antonniaHivi kumbe nimefurahi na hata sijui nyiee 🤣ðŸ¤!
Lamomy na mumeo Mnaniua mbavu hukuuu 🤣🤣🤣🤣
Niache embu mpango siulishindwa kama naona kianaelea elea naachaje kujaa😄Ila kirikou unajitahidi kila mtu unataka kujiweka kwake!!!? 😂😂😂
Mwenyewe 😂Mxxiewwww
Kivipi?Huyo cantry kanitia kichefuchefu sina hata hamu emu nikapumzishe fuvu 🚶🚶🚶🚶
Me nasikia kutraapika kuna vitu nikivisikia
😂😂😂😂 Jirani acha tyuu!!Mwenyewe 😂
Akuudhi mwingine msonyo apewe mwingine
Hskuna nilipoudhi, acha ufalaMwenyewe 😂
Akuudhi mwingine msonyo apewe mwingine
🤣🤣🤣🤣Mwenyew she naona hanizingatiii au Wacha nalo lipite tuKwahiyo Antonnia kinaele?! 😂😂😂
uatafuta mitusi ya kulalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli Mjukuu, na hivi sina mbio kutokana na Uzee mbona nitakoma kukimbizwa na Bibi yenu [emoji28][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni hizooo.. Mnapenda hekaheka nyieeee[emoji1783]!
Na mnaziweza haswaaa!
Mwenye shughuli kuja hivi kuna keki kwer apa😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂 jirani besidei pate njema😂😂😂😂 Jirani acha tyuu!!
kumbe umenisoma?! Dah! Umefanya nicheke kicheko cha hasira
Basi kama hutaki niulizeUzi wa basdei huu kantri na mkeo muache ukorofi walai