.......Happy Birthday cacico......!

Cacico Happy Belated Birthday,

Mwenyezi Mungu akuneemeshe na kukupa maisha

marefu ya furaha na amani,

​
 
AshaDii dear itabidi nikupunguzie majukumu ya nyumbani maana hii ya shemeji yangu cacico ilikupita
 
Last edited by a moderator:

Mie ndio napendea hapo, sina haja ya kukueleza, just like that you know it... Will appreciate so so dear, kazi ya kulea kumbe sio ndogo aisee... Niece wako Mwali kakuulizia na nimemwambia uko mpakani Malawi.. lol
 
hahahaha tell Mwali I will be back my dear....hebu nasikia siku hzi kuna kakijana kanamvizia kuwa naye makini asiende ende kwa mangi bila sababu....huku mpakani hali shwari ila tupo kwen alert tu.....
 
Last edited by a moderator:
hahahaha tell Mwali I will be back my dear....hebu nasikia siku hzi kuna kakijana kanamvizia kuwa naye makini asiende ende kwa mangi bila sababu....huku mpakani hali shwari ila tupo kwen alert tu.....
Shlamoo Uncle. I hope unaendelea vizuri.
Mi nipo home hapa kumsaidia shangazi
Usijali about wanaume: Once bitten twice shy.
Karibu chai, hii ni special order from Aunty:

Happy birthday Cacico, better late than never dear...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…