ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,568
Waswahili wanasema wakati ukuta aisee miaka inakwenda kama mvua inavyomwagika yaani ukishtuka tu dec hiyo inaingia.
Awali ya yote wadau wangu leo tunakumbuka siku ambayo Mungu alimleta kiumbe wake
founder wa JF, rafiki wa wengi, mtanashati asiyependa masifa, hahahahaaaaa Maxence Melo
Nimefurahije kujua siku hii ya kumbukumbu yako bestito wangu basi Mwenyezi Mungu akupe afya njema na wingi wa siku na miaka tele uje ufurahie miaka ya watoto wako.
Nami ladyf naungana na WanaJF wa hapa kukupa pongezi na heri mkuu na pokea kakeki haka sijui utashiba hahahahahahahahaaaa.
WanaJF karibuni kutoa heri zenu kwa kaka Melo.
Happy birthday bestito
Wasalaam
Ladyf