hey..
i miss u best friend!!
Hebu nikumbushe nami nicheke afu nikutekenye tena.....Hivi unajua kila nikiwaza ulivofanya ile siku nacheka sana
Yani nadhani itakuwa uzee au matumizi yaliyopitiliza ya mvinyo........ Khaaaa!!!Halafu na wewe........si ilikuwa juzi juzi hapa........?......na FirstLady1.........tumesahaujeeeee...........
Invisible kama umenielewa naomba urudishe huu uzi kule MMU sio wa huku nilivyoweka kule nilikuwa na maana yangu
kwaniini mnapenda kumuvuzisha tredi zangu kiasi hichi kwani mm sifai kuweka uzi kule mbona wengine hamuwamuvuizishi
pls pls naomba mrudishe kule huu uzi
:hand::hand::hand:hahaha babu kausha bhana
Moderator wa jukwaa hili naomba huu uzi upelewekwe kwenye jukwaa la chit chat maana kama birthday ya huyo mentor wao iliisha jana sijona sababu yakuendelea kubaki hapa huu uzi.
Teh teh teh.... Poyeee wee!!
Nina case na wewe halafu
Acha kulialia kama mjane aliyefiwa na mwanae....
Thread zote za birthdays zinatupwa huku Chit Chat....
Au kwa kuwa umeuanzisha wewe nyumba ndogo ya Mod?
hahaha babu kausha bhana
bana weee...kitambo sijamuona wala kumsikia...toka alipokimbia bariadi sijui maswa sijamsikia tena!!huyohuyo wa kahama ila ameshahama kitambo kwani unamuona hapa jukwaani?
kwani ana masalia wake utawajua watu wanaochonga sana kama funguo
kwani ana masalia wake utawajua watu wanaochonga sana kama funguo
shikamoo dada.