Happy Birthday bestito Chachu Ombara

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
Habarini wadau wote na wapenzi wa jf
inbdex.jpeg

Wakati unasonga na miaka inakwenda, Hata katika Bible, Mhubiri anasema hivi:
" kuna wakati uliowekwa kwa kila mtu hapa duniani, hata kuna wakati wa kila jambo chini ya Mbingu"
"Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kung'oa kilichopandwa,
"Kuna wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga"
"kuna wakati wa kuomboleza na wakati wa kurukaruka"
"kuna wakati wa kulia au wakati wa kucheka"
"kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa'

Na leo hii tunakumbuka wakati mwema na wenye furaha kwetu kwani ni wakati wa kuzaliwa kwa
kitoto, kipenzi chetu Chachu Ombara , Je umeshawahi kujiuliza kwanini Mungu alikuleta duniani,? na je umemfanyia nini Mungu kwa kuwepo kwako hapa. Haya maswali tujiulize wote hapa. na kama hatujafanya basi hatunabudi kufanya au tenda kwa wakati huu uliopo.

Nami nimtakie heri furaha, na afya njema rafiki wa moyo wangu Chachu Ombara ungana nami kumpa heri kitoto chetu cha leo tarehe 12/05/2017, pokea cake hii ndogo ya jf hhaahaa

Happy Birthday bestito
wa ukweeeeeli hahahahahaaaa
Chachu Ombara




 

Similar Discussions

Back
Top Bottom