Happy Birthday bestito Mentor

Happy Birthday bestito Mentor

Hivi yupo wapi huyu kiumbe Mentor? ?? Wish you a happy birthday ila umepotea sana lakini
 
Last edited by a moderator:
Hii keki ya chocolate daaa mate yamenijaa hapa kama inanihusu vile kumbe hamna kitu daaaa haya bana Mentor uko pande zip...
Late wishes hii happy birthdate to youu
 
Last edited by a moderator:
Mbona mi nikipotea hunimiss??

Wivu sina ila roho inauma asee

Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweliiiiiil na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli aaaaaaa moyo kiza kinene oh sorry nlinogewa na wimbo ... Asprin jaribu kupotea uone utakavomisiwa huku
 
Last edited by a moderator:
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweliiiiiil na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli aaaaaaa moyo kiza kinene oh sorry nlinogewa na wimbo ... Asprin jaribu kupotea uone utakavomisiwa huku
Nikipotea watakuiba. staki...
 
Kupigana na nani? Mi ntakuwa upande wako, lazima tushinde.

Ajaribu aone.

Haaaaa! Unayajua machejo wewe? ? Mwenzio nlichezaga rede kipindi hikoooo so ntakwepa kama don the dragon master kha khaa!
 
Manniner hili lijamaa kukiwa na Party JF linatangaza Basidei sasa Mwezi huu mwishoni kuna party sasa wewe Mentor ole wako ujifanye kuzaliwa upya!Mabazazi mnasikia huyu kabazazi leo ndo siku yake ya???yakuzaliwa akitangaza tene upya kwenye party anachimbika!!Siku ile akamuona Malaika akajifanya kazaliwa wakati majuzi yake tuliishakula kake na mabebiz shahidi wangu Ben Mugashe "HAPPY BIRTHDAY Mentor"
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom