Happy Birthday bestito Maxence Melo

Happy Birthday bestito Maxence Melo

Waswahili wanasema wakati ukuta aisee miaka inakwenda kama mvua inavyomwagika yaani ukishtuka tu dec hiyo inaingia.

Awali ya yote wadau wangu leo tunakumbuka siku ambayo Mungu alimleta kiumbe wake
founder wa JF, rafiki wa wengi, mtanashati asiyependa masifa, hahahahaaaaa Maxence Melo

Nimefurahije kujua siku hii ya kumbukumbu yako bestito wangu basi Mwenyezi Mungu akupe afya njema na wingi wa siku na miaka tele uje ufurahie miaka ya watoto wako.

Nami ladyf naungana na WanaJF wa hapa kukupa pongezi na heri mkuu na pokea kakeki haka sijui utashiba hahahahahahahahaaaa.

WanaJF karibuni kutoa heri zenu kwa kaka Melo.

View attachment 506722

Happy birthday bestito

Wasalaam
Ladyf
Nashukuru kuzaliwa siku moja na Mkuu
 
happy birthday kwa mwaka mwingine huu 2018 huzidi kukua na kuongezeka na afya njema Mungu akupe kaka yangu
 
Back
Top Bottom