Happy Birthday bestito Maxence Melo

Happy Birthday bestito Maxence Melo

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Waswahili wanasema wakati ukuta aisee miaka inakwenda kama mvua inavyomwagika yaani ukishtuka tu dec hiyo inaingia.

Awali ya yote wadau wangu leo tunakumbuka siku ambayo Mungu alimleta kiumbe wake
founder wa JF, rafiki wa wengi, mtanashati asiyependa masifa, hahahahaaaaa Maxence Melo

Nimefurahije kujua siku hii ya kumbukumbu yako bestito wangu basi Mwenyezi Mungu akupe afya njema na wingi wa siku na miaka tele uje ufurahie miaka ya watoto wako.

Nami ladyf naungana na WanaJF wa hapa kukupa pongezi na heri mkuu na pokea kakeki haka sijui utashiba hahahahahahahahaaaa.

WanaJF karibuni kutoa heri zenu kwa kaka Melo.

cake_7.jpg


Happy birthday bestito

Wasalaam
Ladyf
 
Happy Birthday JF Founder Maxence Melo ...Unanifanya nizidi kuipenda Jamii Forums kila kukicha..Juhudi zako za kututetea tuwe na uhuru wa kujieleza zinaonekana sana na ubarikiwe sana..Mungu akujalie mengi mazuri na mema!
 
Ntajitahd kufanya juhud za makusud mwanangu azaliwe tarehe kama hii, hongera bro
 
Let the GOD decorate each GOLDEN RAY OF THE SUN reaching u with wishes of Success, Happiness and prosperity 4 U, Wish you a super duper Happy Birthday Max...

Halafu nakuja kukumwagia ndoo za maji sawa na miaka unayotimiza leo
 
Waswahili wanasema wakati ukuta aisee miaka inakwenda kama mvua inavyomwagika
yaani ukishtuka tu dec hiyo inaingia

Awali ya yote wadau wangu leo tunakumbuka siku ambayo Mungu alimleta kiumbe wake
founder wa jf , rafiki wa wengi, mtanashati asiyependa masifa, hahahahaaaaa Maxence Melo

nimefurahije kujua siku hii ya kumbukumbu yako bestito wangu basi Mwenyezi Mungu akupe afya njema na wingi wa siku na miaka tele uje ufurahie miaka ya watoto wako.

Nami ladyf naungana na wanajf wa hapa kukupa pongezi na heri mkuu na pokea kakeki haka sijui utashiba hahahahahahahahaaaa.

Wanajf karibuni kutoa heri zenu kwa kakaka melo

View attachment 506722

Happy birthday bestito

Wasalaam
Ladyf
kheri ya kuzaliwa kwake, signature yako inaonesha cake itakuwa nzuri...........kuna mafunzo vile mkuu???
 
May God gives you more happiness on this particular day. Happy birthday to you Max.
 
Live long and stay blessed Mate! Happy Birthday Max!
 
Happy birthday brother Maxence Mello
 
Back
Top Bottom