YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,374
Asante auntie š¤š¤š¤š¤,Hongera pamoja na utukutu, kichwa kina charge naona mdogo ake vizuri sana.
Asante auntie š¤š¤š¤š¤,Hongera pamoja na utukutu, kichwa kina charge naona mdogo ake vizuri sana.
Haha yeah na alijua Ni utoto tu ule!Yanii sikuhizi Mitihani ni myepesi sana majibu waziwaziiii.... hao watoto sasa akili zao wanazijua wenyewe tu!
Hahahaaa...Sekond hapo lazima mlikua marafiki;
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£, ntakuambia siku moja tu, na matokeo yangu nitakupa uyaone just wait š š š š šYeahhh dakika za majeruhi ukikomaa unatoboaa mbona hongera sana!! Ndio umedinda kuniambia unasomea kozi gani ankoo??š¤š¤š
Aseee ndo nani huyo ufukunyuku š¤£š¤£š¤£š¤£Yaani šš»šš»šš»šš»ššššš anazijua mwenyewe. Hivi ufukunyuku sijui aliishia wapi? Au UE ilimbana sijui.
Daaa š š š š šSikuhizi ameacha ukorofi ameokoka amekua mtoto mzuri šš!
Alijua lazima uungane kwenye maandamano šššš Mzee alikujua. Naona alichoka hapohapo akafurahia, ulipoenda UDSM Chino. Msalimie mzee wa Hall 5 mzee wa Ini š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Mshua nilimla chenga ya mwili akaniambia hakikisha unajaza sauti ndo chuo ambacho hakina maandamano au mzumbe nikamuitikia tu!
Nikajisemea Yani nisiendee ishi njia panda ya ulaya kipindi icho mjini nakuja kwa kuvizia vizia
Mdogo ake huyoo tunashukuru kwa kutubless na nimeiotea Penseli 4Hiyo hapo tonnia ššššView attachment 2670261
Hahaha sumbai zimemfikia.Alijua lazima uungane kwenye maandamano šššš Mzee alikujua. Naona alichoka hapohapo akafurahia, ulipoenda UDSM Chino. Msalimie mzee wa Hall 5 mzee wa Ini š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Huenda yupo tayari kuna new member za kumwaga. Kishakuja kivingine Chino na lazima mnase š š š š
Nougaaa sana ankoo akee sema unyoe nahizo ndevuu banaa ukinyoa utapendeza zaidi ankoo Fanya hivoo!!Hiyo hapo tonnia šššš
Ndevu zinaficha mengi hizo, š¤£š¤£š¤£š šNougaaa sana ankoo akee sema unyoe nahizo ndevuu banaa ukinyoa utapendeza zaidi ankoo Fanya hivoo!!
Santo sana kuubles mchana mwema anko hakika mchana wangu unaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa!!
Barikiwa sana!
šHaya nimekuja mama, ni aje ?Basi Nenda uje huku. Kule ni msibani tutaharibu uzi wa watu.
Poa za kwako. Ulikuwa unanitafuta kumbe. Ukanibamba msibani hatimaye.šHaya nimekuja mama, ni aje ?
Niko powaa,yah nilikutafuta sana mpaka "kukubambia" msibani cha uremboš, happy belated birthday,Poa za kwako. Ulikuwa unanitafuta kumbe. Ukanibamba msibani hatimaye.
Thank you my friend. Tumepoteana sana. Nimefurahi kukuona tena.Niko powaa,yah nilikutafuta sana mpaka "kukubambia" msibani cha uremboš, happy belated birthday,