Kwa hiyo kuna mtu kakununulia Bantu Lady pipi kijiti kimya kimya mpaka mdomo ukashindwa kushirikisha vidole kuitikia wish zetu humu hiyo jana!Umechelewa Tayukwa jana ndiyo nilikuwa nakula pipi kijiti. Leo nishaanza Alcohol kabisa. Kwahiyo bajeti inone 😅😅😅😅
Kwani we hutochaguliwa kwenda?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Mie nasubiria mkitoka zenji mnijie na zawadii tyuuuu💃😛😛😁😁😁
Lakini mbona kama kinyonge hivi au Boss kubwa anataka kukupeleka Dubenga?Wow asante sana, tutafanya hivyo haina shida kabisa. Tonnia Zanzibar tunayo hatuna 😂😂😂😍😍😍
Mkuu wa kayaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Kwa hiyo kuna mtu kakununulia Bantu Lady pipi kijiti kimya kimya mpaka mdomo ukashindwa kushirikisha vidole kuitikia wish zetu humu hiyo jana!
Jukumu la pipi nilikabidhiwa mimi na mkuu wa kaya wa uzi huu mtoto wa kuitwa Antonnia baada ya kuona nimeshindwa kufanya ma wonder kwenye cake sasa nani kakuruhusu upokee pipi nyingine? 😔😔
Wewe sikugawi ila nitaenda Bukoba kukubadilisha na mkungu wa ndizi mzuzu🤣🤣Pipi kijiti kama pipi kijiti ausio 😁😊😊!!
Usijareee kabesaaa Anakujaaaa !!
Bantu Lady unaulizwaa hukuuu🗣️🗣️🗣️🗣️😁
C.... Promax 🤣🤣🤣Mkuu wa kayaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Hakuna kilichobadilikaaa bossiii kubwaaaa Inarudiwaaa Inarudiwaaa!! Weewee treinnnaah😁😁😁😊😊!
Anything for Bantyyyyyuu reideee you know!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,!Wewe sikugawi ila nitaenda Bukoba kukubadilisha na mkungu wa ndizi mzuzu🤣🤣
Kwani we pipi kijiti gani ambayo unajua utam wake na umewahi kuila ukiwa na umri gani?
😂😂😂😂😂 nimecheka hapa. Kumbe unavituko hivyo eeh Tayukwa jamani ni pipi kijiti za watoto tu. Sema leo nimeanza wine kabisa. Aliyeninunulia pipi simtaji hapa Tonnia anamjua 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️ au safari ya Zanzibar tutanyimwa? 😅😅😅😅😅Kwa hiyo kuna mtu kakununulia Bantu Lady pipi kijiti kimya kimya mpaka mdomo ukashindwa kushirikisha vidole kuitikia wish zetu humu hiyo jana!
Jukumu la pipi nilikabidhiwa mimi na mkuu wa kaya wa uzi huu mtoto wa kuitwa Antonnia baada ya kuona nimeshindwa kufanya ma wonder kwenye cake sasa nani kakuruhusu upokee pipi nyingine? 😔😔
Wee Tayukwa na Bantu Lady namie mnitafutie wa kunipa pipi kijiti kwaniii msintanieeee !!Kwa hiyo kuna mtu kakununulia Bantu Lady pipi kijiti kimya kimya mpaka mdomo ukashindwa kushirikisha vidole kuitikia wish zetu humu hiyo jana!
Jukumu la pipi nilikabidhiwa mimi na mkuu wa kaya wa uzi huu mtoto wa kuitwa Antonnia baada ya kuona nimeshindwa kufanya ma wonder kwenye cake sasa nani kakuruhusu upokee pipi nyingine? 😔😔
Weee asitutanieeer akili ishahityuni hapaaa lol!!😂😂😂😂😂 nimecheka hapa. Kumbe unavituko hivyo eeh Tayukwa jamani ni pipi kijiti za watoto tu. Sema leo nimeanza wine kabisa. Aliyeninunulia pipi simtaji hapa Tonnia anamjua 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️ au safari ya Zanzibar tutanyimwa? 😅😅😅😅😅
Chizi unajua wewe mtoto 😂😂😂😂😂 huyu rafiki Tayukwa sijui jana alikuwa wapi. Leo anakuja na mambo ya pipi ya kijiti. Alikimbia jukumu la cake nini? Hatuli pipi kijiti sisi atoe mawine hapa.Wee Tayukwa na Bantu Lady namie mnitafutie wa kunipa pipi kijiti kwaniii msintanieeee !!
Haiwezekani mpeane pipi pekeenu rafiki yenu nimezubaa tyuu hapaaa😂😂😂😊,!
Kumbe upo vizuri namna hii mkuu😂😂😂A long time ago, in a galaxy far, far away, the best person in the world was born.
Happy birthday, Bantu Lady[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kasema tujiandae kwa trip zenjiiii uwepo wetruu tyuuu kila kitu kwakeeee au alikua anamtania kachanga lol😊😁😁😂!!Chizi unajua wewe mtoto 😂😂😂😂😂 huyu rafiki Tayukwa sijui jana alikuwa wapi. Leo anakuja na mambo ya pipi ya kijiti. Alikimbia jukumu la cake nini? Hatuli pipi kijiti sisi atoe mawine hapa.
Ngoja tuone, ila hanaga uswahili rafiki au siyo?Kasema tujiandae kwa trip zenjiiii uwepo wetruu tyuuu kila kitu kwakeeee au alikua anamtania kachanga lol😊😁😁😂!!