Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

šŸ˜…šŸ˜… Kama kawa hata nzi hakatishiii yani.. ulinzi na usalama kama wote... huku tukiendele kula vibe za birthday Girl Bantu Lady wa ukweli, malaika wa roho asie na bayaa wala hilaaa.. aishi tu yani maisha marefu akitaka na mika yangu namkopesha šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…...

Babu aliona jana isiwe case aje kuwasalimia wajukuu wake hasa alipo ona kuna mjukuu mmoja leo ni siku yake ya kuzaliwaa
Barikiwa sana tumekumiss sana Ankol. Iishe tu urudi bana. Nashukuru kwa uwepo wako leo hapa. Niko na raha tu leo šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜ Babu Mwehu
 
Ameeeena kubwaaaaa ya radiii šŸ¤©šŸ¤©šŸ¤©šŸ˜šŸ˜

Gorgeous achaguee ka nyota tano kepii tukale kekiii hadi paluche maaana Babuuu na wajukuuu wake kama samaki na majeeeee.... šŸ˜šŸ˜šŸ˜
View attachment 2662893
šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜ shukrani sana Ankol kwa wimbo huu wa Birthday. DJ kama DJ katika 1 na 2 šŸ’ŖšŸ’ŖšŸ’Ŗ Babu Mwehu
 
Back
Top Bottom