Ulinambia cd ikikamlika utanambia, Je bado recording haijaisha? Wikiendi moja tutaenda kutembea. mia
CC. mathematics
Asante sana mkuu. Vallentine yupo wapi? nshangaa sijamuona Kipaji Halisi, Mzee wala Jawilat. kuna amu na Mamndenyi na mshika dau Mayasa, zion Zion Daughter KakaKiiza. vijana wengi wamepotea aisee mia
Ilikua ya jana lakini bado sijaanza hata kutambaa. Nimefurahi kukuona dada yangu. Bahati mbaya sijakutambulisha kwa wifio Heaven on Earth. miaNipo mdogo wangu, ulipotea sana, ghafla nikakuona kule mchanganyiko
Hii birthday ni leo au?
Hawa hawa ndo wanunuzi lol. Usijali..furaha imenizidi baada ya kukuona ndo maana nikaandika hapa. Baadae ntakupigia. Namba yako ninayo. miasasa mkuu kwanini mambo haya usiyaandike kule pm kwani hapa kila mtu anachungulia
washajua nimetoa cd sasa oky usijali cd imeshakamilika kazi ni kwako
Asante mkuuu. Hivi kwanini hujantumia ile picha? wafanya vibaya hivyo. Najua upo busy but jitahidi kuifuatilia. Naona dogo kaka Mwanza. Mbaya wewe!...hahahaaaaaa.....mia
But njia ulotumia sio nzuri bana hahahahaaaa.but hamna noumer. Ngoja mvua irudi bongo lazima ininyeshee kama ilivyo kunyeshea. miahahahha nshamaliza muuuuda, picha yako ntaishugulikia kaka , ndo maana nakwambia tutafutane mkuu
Aisee sisi ni mapacha. Karibu sana mkuu. miawakuu ni mapacha? Au tarehe zenu zimegongana?
Naona Mmeua ndege wawili kwa mpigo
Hongereni sana
Hawa hawa ndo wanunuzi lol. Usijali..furaha imenizidi baada ya kukuona ndo maana nikaandika hapa. Baadae ntakupigia. Namba yako ninayo. mia
Usijali dada yangu. miausijali mkuu si unajua tena bestito
line ilipotea hivyo nikarenew line ingine hivyo majina ya watu sinayo itakuwa vyema kama utanipigia kuanzia saa 12 jioni kwani niko busy sana sasa
But njia ulotumia sio nzuri bana hahahahaaaa.but hamna noumer. Ngoja mvua irudi bongo lazima ininyeshee kama ilivyo kunyeshea. mia
Ntajitahidi kuwepo but kuanzia saa moja hadi majogooo. chana ntakua nje ya mji kidogo but nikirudi hata ukitaka tukeshe poa tu. Ntakuja na Heaven on Earth. Nataka nianze kumutambulisha kwa ndugu wa damu kama wewe lol. BAK anajifanya eti anajua kuficha siri..hahahahaaa....!!. mia.umerudi lini tena bestito hatuambiani vibaya hivyo?
kesho uwepo wako wahitajika ni birthday yangu mkuu
halafu mwambie figganigga kuwa awepo yeye ndo
atakuwa mc wa function hiyo
Ilikua ya jana lakini bado sijaanza hata kutambaa. Nimefurahi kukuona dada yangu. Bahati mbaya sijakutambulisha kwa wifio Heaven on Earth. mia
Ndo wifi yako. miaEeeh!....kumbe
Haya nitambulishe basi