miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
your welcomeThanx alot Evelyn Salt na miss chagga
Hapana labda bia tu. Ulishahama kule? juzi nlijipitisha sijakuona. Lini twende ubungo kwa mshikaji? mia
Nipo mkuu bado tunapambana na Mungu anasaidia winter ndo imetanda jana na leo sijaona pm zako ata hivyo Heaven on Earth abarikiwe sana.
Heri ya siku ya kuzaliwa figganigga...Mungu akujalie maisha marefu yenye mafanikio tele.
Japo nitataka kujua how comes mke wangu Heaven on Earth amejua bday yako....MIA
hili swali limedirectiwa kwa mzee wa mia au kwangu
Nipo Voda. Wapi umemuoan dada yangu ram? mianimerudi kitambo nikakutafuta sana hupatikani au ulipotea na ndege na malaysia?
Nyote mwahusika....haya nyoosha maelezo tasavali
Asante sana mkuu. Ushamsalimie shemeji yako? Halafu wewe jana nikashangaa sijakuona, Au ulibanwa na kazi? miaheri ya siku ya kuzaliwa.......
goddamn....
Asante Dada yangu King'asti, Huyu kijana anataka kumjengea chuki bure mke wangu Mpendwa Heaven on Earth. miaHappy belated birthday you twins.
Vin Diesel, una wake wangapi waliosajiliwa na serikali ya kenya?
Happy Birthday @Figanigga
Asante sana mkuu. miaNashukuru Mkuu niko salama sana, uliadimikaga sana mzee wa Mia Mia. Karibu tena Bro.
Asante sana mkuu. Nmekuelewa. miaok ok mia man
Dogo hajambo? Leo nmefurahi kuwaona karibia marafiki zangu wote. miamiaaaa
Ndo maana Heaven on Earth hakutaki. mkuu si unaona wataka kumua kwa huo utitiri wa wanawake? miaBado nafanya uhakiki wa daftari la wake...zoezi likiisha nitakupa report
usiogope hata kidogo maana mdogo wake anapata haki yake mpaka anaomba poo
Ulinambia cd ikikamlika utanambia, Je bado recording haijaisha? Wikiendi moja tutaenda kutembea. miakule bado niko kabisa tupange siku twende hapo ubungo ila mwenzio niko tight sana yaani hadi muda wa kulala sina
sio kweli. mianimerudi kitambo nikakutafuta sana hupatikani au ulipotea na ndege na malaysia?