Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
teh teh teh anakwambia "don't judge book by cover" teh teh teh
Hhhhhaahaa binti kiziwi umenichekesha sana...
Ila mie lemutuz ananifurahishaga sana
Hahahaaa ila jamani ofisi ina makorokoro hivyo, mhhh
Page yake ya Instagram utadhani album ya bachelor imejaa picha za mabebs tuLe mutu ni akili kubwazz
Teh teh, by cover!
W. J. Malecela tayari tupo page ya 14 rudi huku kiongozi sauti za umeme kumkoma nyani giladi.Mbebs....
Mbebs....
Page yake ya Instagram utadhani album ya bachelor imejaa picha za mabebs tu
Nahisi huyo mwanamke anajutiaga sana kuzaa na le baharialakini si yuko divorced kwa hiyo ni bachelor au? Mi ninachoshangaa ni kusikia ana watoto, hao ndio ningependa niwaone instagram wanafananaje.
Kweli, napendaga ambavo huwa hajali kabisa watu wanasema nini, anaishi atakavyo yeye I like it you know