ILA mUTUZ @ kIBAIGWA MPWAPWAA,we bado bonge la MBURUKUKU aisee sasa makorokoro yote hayo ofisini ya nini,huku miwani ya jua,huku una surf,huku kikombe cha chai huku headphone aisee we mkuu vipi?
hayo yote uonyeshe kama na wewe umo tu.ila huo bonge la ushamba.jiamini we ZOBA.:wacko::spy:
Hahahahahahahaha mkuu umempa kavu zenye ukweli ndani yake ...
- Kijana mdogo haya mambo huyajui unajua mambo ya ali kiba na wema sepetu kaa pembeni ngoja nimpe darasa huyu kimama mzeee miaka 51 hahahahahaha anahangaika anadhani JF inaweza kumrudishia ndoa aliyoichezea mwenyewe hahahahahahaha
Le Mutuz
Ukweli upi? Jinga kabisa wewe, unafurahia kuona mwenzako anaharibikiwa? Hivi Wabongo mtaacha lini unafki na roho za kishirikina?
akili kubwa lakini haijiamini,ofisini kwako headphone za nini.hapo usikute mburulaz linaangalia porno.hahahaaa makorokoro kama nyumba za katuni au nyumba za watoto za kuchezea kibaba baba na kimama mama lol!  i like him though
Hahahahahahahaha mkuu umempa kavu zenye ukweli ndani yake ...
nani ameharibikiwa ....?
umejuaje kama kaharibikiwa ..?
ukweli kwamba issue unayowez ku discuss wewe ni ya alikiba na wema tu! ....
Napenda kuchukua fursa hii kumu wish baba Agapeo na Leona a very happy birthday, may ur special day be fulfilled with happiness and joy, sadly mama Agapeo yuko busy kuwaekea maisha watoto na kuwatafutia pesa za ada ya college si unajua ma single mother ambao baba watoto wamekimbia responsibility zao na kubaki kucheza na kubishana na vitoto Instagram!
zawadi yako ninayo tayari and hooe daddy and mummy na wao wameshakunulia birthday presents, kina Agapeo na Leona wanasema wako too busy ku deal unresponsible deadbeat dad like u, the say wishing u a happy birthday will be the biggest betral to their mothers efforts of raising and providing them without ur help, hopeful being 2yrs short of 60 itakufanya u grow up na kuact responsible.
View attachment 263395View attachment 263396
Mimi nasikitika sana jina la Malecela kuna wakati lilikuwa namaana fulani kubwa tu, si Tanzania wala Africa bali dunia nzima, leo habari ndiyo hii.
Inanikimbusha Marlon Brando kwenye "On The Waterfront" aliposema "I coulda had ckass, I coulda been a contender...Instead of a bum".
Yaani mtu anaingia maboya kutukanana na ex wife waliyezaa naye watoto JF bila hata uthibitisho kwamba ni kweli ex wife ndiye kaandika?
How stupid and low does one need to get to do that?
https://youtu.be/3QsNXd57Ppw