Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,963
- Thread starter
- #101
Ukimuweka ndani unambadili tabia maisha yanasongaMzazi kazaa mtoto yupo moro sec.
Mzazi anatuma pesa ya matumizi daily. Hatari sana.. Ndio ukimvuta ndani utazaa watoto wakije wakali wenye tabia za mama yao?? Swali tu