The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Hahaha!!! Ndio nimerudi kutoka honeyPoa sana. Umepotea sana TF au ndo ulikuwa kwenye h'moon?
Nice pic..
Hahaha!! Si unajua tena mkuu ndio nimerudiTF mbona hatuambiani mkuu
Hahahaha!!! Boss Boss Boss umeanzani wewe na jux sio????
Hahaha!! Si unajua tena mkuu ndio nimerudi
Duh!!! Umepotea na wewePoa sana. Umepotea sana TF au ndo ulikuwa kwenye h'moon?
Nice pic..
Hahaha... Uchoyo huo sasa... Hujamwalika hata swahiba kloro?..simuoni kabisa kwenye hizo pic...Hahaha!!! Ndio nimerudi kutoka honey
Kloro hafai hachelewi kuanza kumtongoza wifeHahaha... Uchoyo huo sasa... Hujamwalika hata swahiba kloro?..simuoni kabisa kwenye hizo pic...
Dah!!! Mkuu stori ndefu aiseena jux pia hatumouni kabisa hapa lol
yupo wapi?
Who dat?
DC mwenye mali lazima awe katikatiWewe ndo yupi kati hao???
Macho yameshalegea nuts kwa hiyo usinicheke!!
Nilimpa Klorokwin akufikishie kadi lazima atakuwa ameingia nayo mitini kama hakumpa swahiba wake Uporoto sijuiMkuu hata kupeana taarifa aise tukupe kamchango
haya mkuu hongera sana maana duh imependeza sana
Nilimpa Klorokwin akufikishie kadi lazima atakuwa ameingia nayo mitini kama hakumpa swahiba wake Uporoto sijui
Kloro hafai hachelewi kuanza kumtongoza wife
Hahaha... Kumbe ndo zake eeh?... Afu jana alikuponda eti unavaaga majoho ya graduation afu unatinga nayo disco...kumbe zilikuwa hasira za kunyimwa mwaliko..