Paka Mweusi wala usihofu. Mie nimepangiwa kufanya sensa eneo hilo. Wala sina wasiwasi nitazipata details zao zote kutoka kwa majirani zao wakristu.Namuhurumia karani atakayepangiwa eneo hilo.....
In short take it from me ISHI UISLAMU wako kadiri unavyoelekezwa, lakini nakuhakikishia mwisho wa maisha ya hapa duniani utakwenda motoni tu. Unataka njia ya kweli ni YESU KRISTO tu kwingine kokote utapotea. Chukua hatua kabla hujachelewa, maana tumewekewa kuishi mara moja na baada ya kufa hukumu (Ebr 9:27) hakuna nafasi ya pili. Wewe usipochukua hatua au waislamu msipochukua hatua maneno haya mtayakumbuka sana tu. ASANTENINimewaelewa na ninakubaliana nanyi Bw.Achahasira na Mandown ila sidhani kama ni jambo jema kususia sensa tukumbuke hao wakristo ni makafiri ambao malipo yao ni hapa hapa duniani si vyema kubishana na makafiri kwa kuwa tunapoteza muda na nguvu ambazo tungezitumia kuimarisha uislamu.
Hata mie sioni kwa nini suala la dini lisiulizwe kwenye sensa. Kuna data muhimu hapo kama idadi ya waamini wa dini zilizopo, inter religious marriages, na especially kwa ajili ya kupanga maendeleo. Kama kuna marginalised groups serikali ichukue hatua za kukwamua kabla stress hazijaanza.
msihofu, tumefundishwa mbinu za kuwahesabu hata kama hawataki. Si kuchukua idadi ya hesabu ya watakao hesabiwa, na kutafuta asilimia 34 tu!!!!!!!!!!!!
na wewe ni kati ya wale 34%???????Nenda kawahesabu magamba wenzako