Hapo ndo kwetu! Mje Sasa!

Hata mie sioni kwa nini suala la dini lisiulizwe kwenye sensa. Kuna data muhimu hapo kama idadi ya waamini wa dini zilizopo, inter religious marriages, na especially kwa ajili ya kupanga maendeleo. Kama kuna marginalised groups serikali ichukue hatua za kukwamua kabla stress hazijaanza.
 
qul ya ayuu kafirun la abidu mantaa abidu lakum dinu kum waliadin (MAMBO YA NGOSWE MUACHIENI NGOSWE
 
attachment.php


Mwenye nyumba sawa Muislamu sisi wapangaji tusio waislamu vipi?
 
Sasa mnamkomoa nani?

Akili za Abunuasi hizo, Mnakata tawi mlilolikalia!
 
Nimewaelewa na ninakubaliana nanyi Bw.Achahasira na Mandown ila sidhani kama ni jambo jema kususia sensa tukumbuke hao wakristo ni makafiri ambao malipo yao ni hapa hapa duniani si vyema kubishana na makafiri kwa kuwa tunapoteza muda na nguvu ambazo tungezitumia kuimarisha uislamu.
In short take it from me ISHI UISLAMU wako kadiri unavyoelekezwa, lakini nakuhakikishia mwisho wa maisha ya hapa duniani utakwenda motoni tu. Unataka njia ya kweli ni YESU KRISTO tu kwingine kokote utapotea. Chukua hatua kabla hujachelewa, maana tumewekewa kuishi mara moja na baada ya kufa hukumu (Ebr 9:27) hakuna nafasi ya pili. Wewe usipochukua hatua au waislamu msipochukua hatua maneno haya mtayakumbuka sana tu. ASANTENI
 
KWA MUJIBU WA SEMINA ZETU HAKUNA AMBAYE HATA HESABIWA.. Hata Sheikh Ponda atahesabiwa

Kwa Mujibu wa SHERIA ZA SENSA ni KOSA LA JINAI KUKATAA KUHESABIWA, Kwa kisingizio chochote kile na hatua kali zitachukuliwa.

Hakuna Atakaye kulazimisha ila Utashawishiwa kuhesabiwa, lakini Ushawishi ukishindikana Ndo hayo yanafuatia

SOURCE: MAFUNZO YA SENSA na Wakuu wa NCHI.
 
msihofu, tumefundishwa mbinu za kuwahesabu hata kama hawataki. Si kuchukua idadi ya hesabu ya watakao hesabiwa, na kutafuta asilimia 34 tu!!!!!!!!!!!!
 
Hata mie sioni kwa nini suala la dini lisiulizwe kwenye sensa. Kuna data muhimu hapo kama idadi ya waamini wa dini zilizopo, inter religious marriages, na especially kwa ajili ya kupanga maendeleo. Kama kuna marginalised groups serikali ichukue hatua za kukwamua kabla stress hazijaanza.

Hayo ndiyo maneno. Tatizo ni kwamba wao wameshatia sumu kwenye masuala ya dini na makabila baada ya kuzidiwa kete uchaguzi wa 2010; sasa wanatuenezea uoga wao wananchi wote kama mkakati wao muhimu wa kisiasa. Kama unavyojua tena, dhamiri inawahukumu (the guilty are always afraid). Ningepata faraja sana kama Watanzania wote au wengi wangeliona hilo badala ya kushabikia ujinga huu ulioletwa na viongozi wa CCM nchini. Kujua muundo kamili wa jamii yetu (demography) ni muhimu sana kwa maelewano ya ukweli na yenye tija katika nyanja zote za kiuchumi, kisiasa na kijamii. Kujaribu kukwepa hili ni kama kuzika kichwa ndani ya mchanga ilhali ukweli wote uko nje kwa yeyote anayetaka kuuchezea anavyotaka.
 
nakushanga ww unaetaka kuwalazimisha watu wasiotaka kuhesabiwa ktk sensa wahesabiwe ,nakuuliza wakihesabiwa na wasipohesabiwa wanapata hasara gani ama faida gani ,nahisi na ww magamba acha mambo ya ajabu ,kwa serikali magamba hakuna haj ya kuhesabiwa hata mm nisiye mwislamu sitakimnihesabiwe kwani hakuna faida
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom